Hivi inawezekanaje kijana miaka 28 bado yupo nyumbani

ChiefGodlove fake wa JF unaongoza humu JF kwa kumwaga Chai zako,

Umeshabadili tena jina la ID,unabadili ID ila akili zako ni zile zile na Nyuzi zako ni zile zile tu! Ile ID yako sijui Money...hukukaa nayo sana naona!

Nilikushauri utafute Kazi ya kufanya ili upunguze hizi chai zako,umri unaenda mbele haurudi nyuma.
 
Kati ya wewe na yeye nani kafikia kwenye nyumba ya mama yake au mkeo ?

Nani alikuambia umuoe huyo mama na mwanae ilihali huna uanaume ndani yako?

Mtafutie kazi au mpe hata 20k akanunue dawa za mbu, auze

Hujachukua hatua yoyote juu yake afu unabwata, tuu

Stupid
 
Ok
Lakini bado ni kama mwanao tu, na wewe kama mwanaume Inabidi ajue maisha ya kujitegemea kutoka kwako

Ila kama na wewe una maisha ya kubangaiza basi itabidi ukubali maisha hayo

Samahani lakini kwa maneno haya
 
Watoto kama hawa wanakuwaga msaada sana kwa wazazi uzeeni. Uzeeni kuna upweke hasa kwa wanaume. Bora mtoto mmoja abaki nyumbani
Mkuu kama umejianda tangu ujana na una akiba yako nzuri basi utaishi vizuri tu tena bila bughdha yoyote.

Watoto hata wake utawajua tabia zao mmoja mmoja
Kuna wengine unawapa hela wanairukia na kuna mmoja huyo ukimpa anakuambia hapana baba we kaa nayo tu

Wa hivyo ndio namuachia mali zangu
Unaweza ukaachwa ukifa peke yako lakini kama una akiba zako na hisa basi utakufa ukiwa na tabasamu moyoni.

Vijana wekeni akiba ya uzeeni msitegemee mtu
 
Hili toto nimelilea limemaliza shule halitaki kutoka nyumbani huu mwaka wa 8 Sasa wakuu nashindwa kuelewa toto kama Hilo haliwazi hata future yake na familia yake nawaza jinsi ya kulifukuza aisee

Naombeni mnipe principle ya kumfukuza maana mama yake analitetea zee kama hili Mimi ni baba yake wa kufikia

Mpe biashara ya familia aendeshe kama vile Mo dewji alivyopewa biashara na baba yake
 
Hili toto nimelilea limemaliza shule halitaki kutoka nyumbani huu mwaka wa 8 Sasa wakuu nashindwa kuelewa toto kama Hilo haliwazi hata future yake na familia yake nawaza jinsi ya kulifukuza aisee

Naombeni mnipe principle ya kumfukuza maana mama yake analitetea zee kama hili Mimi ni baba yake wa kufikia
Mbona yesu yupo Kwa baba sembuse binadamu we vipi
 
Kma ni binti muache ila km ni dume fukuza huyo
 
Mkuu kama umejianda tangu ujana na una akiba yako nzuri basi utaishi vizuri tu tena bila bughdha yoyote.

Watoto hata wake utawajua tabia zao mmoja mmoja
Kuna wengine unawapa hela wanairukia na kuna mmoja huyo ukimpa anakuambia hapana baba we kaa nayo tu

Wa hivyo ndio namuachia mali zangu
Unaweza ukaachwa ukifa peke yako lakini kama una akiba zako na hisa basi utakufa ukiwa na tabasamu moyoni.

Vijana wekeni akiba ya uzeeni msitegemee mtu
Unakuwa na akiba lakini uko peke yako. Mke wako atakuacha akienda mwanaye
 
Inategemea na upendo wao
Mke anaweza kuwa na wewe mpaka unakufa kwa mfano
Lakini pia wapo wanaokimbia wakikuona upo kitandani ukiumwa

Ila wakienda na wewe una 100m au zaidi zimekaa bank unajali nini?
Utapata wa kukuangalia kwa pesa zako
 
Lawama kampe aliyemzaa ,so mnazaa kama vyura ili mgundue nn?

Maisha sio rahisi kiasi hicho ,kila mtu hawezi kufanikiwa.
 
Hili toto nimelilea limemaliza shule halitaki kutoka nyumbani huu mwaka wa 8 Sasa wakuu nashindwa kuelewa toto kama Hilo haliwazi hata future yake na familia yake nawaza jinsi ya kulifukuza aisee

Naombeni mnipe principle ya kumfukuza maana mama yake analitetea zee kama hili Mimi ni baba yake wa kufikia
umempa mwongozo?
 
Back
Top Bottom