Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Naomba ushauri wako mkuuWeka picha ya hilo zee
Wewe ni WA kikeUngekuwa mwanaume usingethubutu kuandika hayo maneno
Weka picha kwanzaNaomba ushauri wako mkuu
HaipoWeka picha kwanza
Huyo kijana n nani kwakoHaipo
Mtoto wa mke wanguHuyo kijana n nani kwako
Hup sio umri wa kuishi nyumbani Kwa wazaziMiaka 28 ni zee! Ajabu akifariki na hio hio miaka watasema aliondoka akiwa kijana mdogo!
Mimi baba yake wa kufikiaKijana yuko nyumbani kwa baba yake kuna shida gani?
Daah pole sana mtaftie shughuli ya kufanyaMtoto wa mke wangu
Inategemeana na mazingira ya hapo nyumbani.Hup sio umri wa kuishi nyumbani Kwa wazazi
Nimeshamtafutia ila pesa anaenda kulewa na kula bangi na Kila siku kuanzisha ugomvi mitaani na anawekwa ndani mara Kwa maraDaah pole sana mtaftie shughuli ya kufanya