The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Huyu hajui namna mambo huwaUngekuwa mwanaume usingethubutu kuandika hayo maneno
Umekuja JF kuomba like??Gonga like kama unaamini hii ni CHAI
Alafu mbona ni very possible wapo kibao tu machalii wana 30 na wapo makwao ni hawaelewiGonga like kama unaamini hii ni CHAI
Kwa nini uwe baba wa kufikiaHili zee la huu umri linakaaje nyumbani kwangu aisee mama yake analitetea sana
Mkuu kama umejianda tangu ujana na una akiba yako nzuri basi utaishi vizuri tu tena bila bughdha yoyote.Watoto kama hawa wanakuwaga msaada sana kwa wazazi uzeeni. Uzeeni kuna upweke hasa kwa wanaume. Bora mtoto mmoja abaki nyumbani
Hili toto nimelilea limemaliza shule halitaki kutoka nyumbani huu mwaka wa 8 Sasa wakuu nashindwa kuelewa toto kama Hilo haliwazi hata future yake na familia yake nawaza jinsi ya kulifukuza aisee
Naombeni mnipe principle ya kumfukuza maana mama yake analitetea zee kama hili Mimi ni baba yake wa kufikia
Mbona yesu yupo Kwa baba sembuse binadamu we vipiHili toto nimelilea limemaliza shule halitaki kutoka nyumbani huu mwaka wa 8 Sasa wakuu nashindwa kuelewa toto kama Hilo haliwazi hata future yake na familia yake nawaza jinsi ya kulifukuza aisee
Naombeni mnipe principle ya kumfukuza maana mama yake analitetea zee kama hili Mimi ni baba yake wa kufikia
Unakuwa na akiba lakini uko peke yako. Mke wako atakuacha akienda mwanayeMkuu kama umejianda tangu ujana na una akiba yako nzuri basi utaishi vizuri tu tena bila bughdha yoyote.
Watoto hata wake utawajua tabia zao mmoja mmoja
Kuna wengine unawapa hela wanairukia na kuna mmoja huyo ukimpa anakuambia hapana baba we kaa nayo tu
Wa hivyo ndio namuachia mali zangu
Unaweza ukaachwa ukifa peke yako lakini kama una akiba zako na hisa basi utakufa ukiwa na tabasamu moyoni.
Vijana wekeni akiba ya uzeeni msitegemee mtu
Inategemea na upendo waoUnakuwa na akiba lakini uko peke yako. Mke wako atakuacha akienda mwanaye
umempa mwongozo?Hili toto nimelilea limemaliza shule halitaki kutoka nyumbani huu mwaka wa 8 Sasa wakuu nashindwa kuelewa toto kama Hilo haliwazi hata future yake na familia yake nawaza jinsi ya kulifukuza aisee
Naombeni mnipe principle ya kumfukuza maana mama yake analitetea zee kama hili Mimi ni baba yake wa kufikia
pointDaah pole sana mtaftie shughuli ya kufanya
kabisaHuyu hajui namna mambo huwa