Hivi inawezekanaje mapinduzi kufanyika ndani ya Chama cha siasa ?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Sijajua hili linawezekana vipi , Ofisi ya Msajili ina watambua watu fulani kama viongozi halali .

Inawezekana vipi mtu mwingine kujitangaza kiongozi? Kwani haiwezekani kwa Ofisi ya msajili kuagiza hao watu wanataka fanya mapinduzi kinyume na taaratibu za chama husika kukamatwa

Au na hili linakuwa na maelekezo toka juu ?
 
Yanawezekana kabisa kwa msaada wa huyo huyo msajili wa vyama mfano hai ni yaliyotokea NCCR Mageuzi na kumfurusha kabisa James Mbatia.
 
NCCR kwa nguvu mamlaka mapinduzi yamefanyika mara mbili
 
Haiwezekana ni upuuzi kumwamini nyeriko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…