Hivi ingekuwaje kama binadamu wote tungekufa kwa aina moja tu ya kifo ajali?

Hivi ingekuwaje kama binadamu wote tungekufa kwa aina moja tu ya kifo ajali?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Hebu tufikirie kwa mfano tu dunia ambayo hakuna kuugua wala kufa kwa magonjwa wala uzee. Kila mtu siku moja atakufa kwa ajali tu, ila hajui ni lini na wapi na kwa ajali gani ajali ya ndege ,gari au meli..natamani kujua maisha yangekuwaje tofauti na yalivyo sasa?

Watu wangekuwa waoga zaidi na kuishi kwa tahadhari kupita kiasi yaani watu wasingekuwa wanasafiri hovyo au tungezoea ukweli huo na kuendelea kupambana na maisha kama kawaida tukisahau kuhusu kifo kama tunavyofanya sasa?
 
Back
Top Bottom