Sawa...japo wapo wanaoweza kutumia hiyo nafasi kuchafua majina ya ofisi za watu makusudi.Yaani ukipata service mbovu kutoa office yoyote inayotoa huduma kuna kuwa na sehemu unatoa nyongo yako na kutoa rate... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Sawa...japo wapo wanaoweza kutumia hiyo nafasi kuchafua majina ya ofisi za watu makusudi.
Hii kweli akili alafu inatakjwa iwe connected moja kwa moja ikulu yaani mama anapata feed mwisho wa sikuHello JF,
Nimesikia hilo sakata la Mnaigeria kutaka kubakwa Zanzibar...
Ila nimesikia rating ya hio hotel imekua 1.1 kutoka 4 something...
This means reputation imekwenda..
Sijui ita deal vipi na aftermath
Anyway,
Nimefikiria rating system ikiwekwa kwenye mawizara,wabunge na watumishi wa UMMA,
Yaani ukipata service mbovu kutoa office yoyote inayotoa huduma kuna kuwa na sehemu unatoa nyongo yako na kutoa rate... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Wizara zina compete kwa rate, which means sisi wananchi tunapata huduma bora....
Mimi naona itakua powa sana,....LOL
Kitu muhimu ni nchi/wanaotoa huduma kwa jamii kuwa transparent na wafanye kazi kwa integrity mkuuAfterall, hizo negative ratings unaweza zifuta zote.
Pesa yako tu.
Ningekuwa mwenye hoteli, nasubiri baada ya week, napenyeza mpunga wafute negative ratings zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kitu mim nimewahi kufikiria lakini nilienda deep kidogo. Yaan nilikuwa na matarajio makubwa sana[emoji16][emoji16]Hello JF,
Nimesikia hilo sakata la Mnaigeria kutaka kubakwa Zanzibar...
Ila nimesikia rating ya hio hotel imekua 1.1 kutoka 4 something...
This means reputation imekwenda..
Sijui ita deal vipi na aftermath
Anyway,
Nimefikiria rating system ikiwekwa kwenye mawizara,wabunge na watumishi wa UMMA,
Yaani ukipata service mbovu kutoka office yoyote inayotoa huduma kuna kuwa na sehemu unatoa nyongo yako na kutoa rate... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Wizara zina compete kwa rate, which means sisi wananchi tunapata huduma bora....
Mimi naona itakua powa sana,....LOL