Hivi ingekuwaje?

Hivi ingekuwaje?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Hello JF,

Nimesikia hilo sakata la Mnaigeria kutaka kubakwa Zanzibar...

Ila nimesikia rating ya hio hotel imekua 1.1 kutoka 4 something...

This means reputation imekwenda..

Sijui ita deal vipi na aftermath

Anyway,

Nimefikiria rating system ikiwekwa kwenye mawizara,wabunge na watumishi wa UMMA,

Yaani ukipata service mbovu kutoka office yoyote inayotoa huduma kuna kuwa na sehemu unatoa nyongo yako na kutoa rate... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Wizara zina compete kwa rate, which means sisi wananchi tunapata huduma bora....

Mimi naona itakua powa sana,....LOL
 
Yaani ukipata service mbovu kutoa office yoyote inayotoa huduma kuna kuwa na sehemu unatoa nyongo yako na kutoa rate... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Sawa...japo wapo wanaoweza kutumia hiyo nafasi kuchafua majina ya ofisi za watu makusudi.
 
Sawa...japo wapo wanaoweza kutumia hiyo nafasi kuchafua majina ya ofisi za watu makusudi.

Ni kweli,ila ikiwa persistent watu kibao wanasema kitu fulani,ujue ni kweli, system pia iweke tamaduni za kuchunguza madai ya watu,,ikibainika mtu amechafua mtu makusudi mtu huyo ashitakiwe mahakamani kwa defamation...
 
Hello JF,

Nimesikia hilo sakata la Mnaigeria kutaka kubakwa Zanzibar...

Ila nimesikia rating ya hio hotel imekua 1.1 kutoka 4 something...

This means reputation imekwenda..

Sijui ita deal vipi na aftermath

Anyway,

Nimefikiria rating system ikiwekwa kwenye mawizara,wabunge na watumishi wa UMMA,

Yaani ukipata service mbovu kutoa office yoyote inayotoa huduma kuna kuwa na sehemu unatoa nyongo yako na kutoa rate... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Wizara zina compete kwa rate, which means sisi wananchi tunapata huduma bora....

Mimi naona itakua powa sana,....LOL
Hii kweli akili alafu inatakjwa iwe connected moja kwa moja ikulu yaani mama anapata feed mwisho wa siku
 
Afterall, hizo negative ratings unaweza zifuta zote.

Pesa yako tu.

Ningekuwa mwenye hoteli, nasubiri baada ya week, napenyeza mpunga wafute negative ratings zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu muhimu ni nchi/wanaotoa huduma kwa jamii kuwa transparent na wafanye kazi kwa integrity mkuu
 
Wazo zuri, ingesaidia kuongeza ufanisi na weledi kwenye utendaji kazi na utoaji huduma bora
 
Tatizo lipo kwa watekelezaji, yani plani ni nzuri lakini utekelezaji wake utakuwa mgumu coz watekelezaji ni watu wa matumbo mbele.

Everything is possible nchi hii, shida ni "human resource"!
 
Hello JF,

Nimesikia hilo sakata la Mnaigeria kutaka kubakwa Zanzibar...

Ila nimesikia rating ya hio hotel imekua 1.1 kutoka 4 something...

This means reputation imekwenda..

Sijui ita deal vipi na aftermath

Anyway,

Nimefikiria rating system ikiwekwa kwenye mawizara,wabunge na watumishi wa UMMA,

Yaani ukipata service mbovu kutoka office yoyote inayotoa huduma kuna kuwa na sehemu unatoa nyongo yako na kutoa rate... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Wizara zina compete kwa rate, which means sisi wananchi tunapata huduma bora....

Mimi naona itakua powa sana,....LOL
Hiki kitu mim nimewahi kufikiria lakini nilienda deep kidogo. Yaan nilikuwa na matarajio makubwa sana[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom