VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
Nawasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimu muwe nasubira mu-comfirm kwanza kwenye akaunti zenu mengine yatafuataNawasilisha.
duh!Walimu muwe nasubira mu-comfirm kwanza kwenye akaunti zenu mengine yatafuata
Hapa kwenye ku confirm kuna raia zishapoteana.Walimu muwe nasubira mu-comfirm kwanza kwenye akaunti zenu mengine yatafuata
We nae una kitete sana umeambiwa confirm tulia subir utaratibu .una wewesek utadhan kma vile utachaguliwa we tulia ,ustilie maana walio omba n wengine sanaa Kam laki 200000 hukoView attachment 3097294
Mkenda alibebwa na Magufuli mwepesi sanaKumbe jobless wakiamua kushirikiana kwenye Zoezi la kupiga kura wanaweza ing'oa CCM madarakani. Yaani hapo kwenye 247000 Kuna wale ambao hawajajisumbua kuomba, ukichukua 247000 times Kila jobless ana ndugu aliefikia umri wa kupiga kura let say anao 8 wote wanahasira ya kijana wao/ndugu Yao kutokuajiriwa na serikali ni kura nyingi sana. Jobless shikamaneni ili akina mkenda nao wakajiajiri
Mkenda alibebwa na Magufuli mwepesi sana