Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mm huwa naamua nimuoneshe picha zangu nilizopiga na nguo nyngneWadai hivi sijawahi kuwatokea kuna mtu mnakutana nae na kila akikuta anakukuta na nguo zile zile yaani ata mkae miezi miwili alafu siku ukikutana nae anakukuta na nguo zile zile yaani unatamani umwambie ninazo nyingi
Ujaelewa mada.Hiyo zamani tuliita kauka nikuvae. Ni mambo ya kawaida inategemea na uchumi wa ntu au anacho kipendelea zaidi
Hujaelewa maada inahusu nn ndo maana umepuyanga [emoji23]Fake life! Kwanini ujitese kujitetea kwa mtu ambaye hakulishi wala hakuvishi?
Kwani ni kosa lolote kurudia nguo? Tuache show off.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Nilijua niko peke yangu,na siku ukipiga zile kali unazozijua wewe hukutani naye...Wadau hivi haijawahi kuwatokea kuna mtu mnakutana nae na kila akikuta anakukuta na nguo zile zile yaani ata mkae miezi miwili alafu siku ukikutana nae anakukuta na nguo zile zile yaani unatamani umwambie ninazo nyingi.
Hahaha imeshanitokea sana miaka ya zamani. Kuna dada nilikuwa nampenda sana ila siwezi kumwambia lakini kila nikutana nae kanisani, njiani au popote alikuwa ananikuta na shati ya cream na suruali ya damu ya mzee nimechomekea hahahah
Fake life! Kwanini ujitese kujitetea kwa mtu ambaye hakulishi wala hakuvishi?
Kwani ni kosa lolote kurudia nguo? Tuache show off.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Umepiga tambara zako li t-shirt kubwaa ndio unakutana na nao 😀😂😂😂😂😂Kuna kaukweli lakini haswa ukiwa unapenda kuvaa nguo ya aina flani ila mimi inatokea ile siku umevaa kwa kujikataa ndo unakutana na watu unaojuana nao kwa wingi 😂😂