Hivi ishawahi kukutokea kuna mtu unakutana naye mara nyingi na anakukuta na nguo zile zile

Hivi ishawahi kukutokea kuna mtu unakutana naye mara nyingi na anakukuta na nguo zile zile

Kwa nini mnajitesa hivyo? Hata nikionana na mtu sikumbuki alivaa nini mara ya mwisho nilipoonana naye! Nina mambo meeeengi kichwani...
 
Wadau hivi haijawahi kuwatokea kuna mtu mnakutana nae na kila akikuta anakukuta na nguo zile zile yaani ata mkae miezi miwili alafu siku ukikutana nae anakukuta na nguo zile zile yaani unatamani umwambie ninazo nyingi.
nisiende mbali,mm nipo kariakoo nipo na rafiki yangu uvumilivu ulimshinda na kunieleza""KWANINI KILA NIKIJA NAKUTA UMEVAA T-SHIRT NYEKUNDU??" nikawa sina majibu.

Na ni kweli yule mdada hata akikaa miezi 3 siku ambayo akitokea tu nimevaa tshirt nyekundu
 
Hakuna kosa lolote tukubali jinsi watu walivyo
 
Wadau hivi haijawahi kuwatokea kuna mtu mnakutana nae na kila akikuta anakukuta na nguo zile zile yaani ata mkae miezi miwili alafu siku ukikutana nae anakukuta na nguo zile zile yaani unatamani umwambie ninazo nyingi.
Ha ha ha
Mbona hilo si tatizo mazee!
Miaka ya college tulikuwa tuna vaa jeans mwezi mzima.
Kuifua ilikuwa shughuli pevu.
Ukiiloweka na kinyoosha inasimama yenyewe!!!!
 
Nilikutana na friend angu church baada ya muda bila kuonana. Tukapiga selfie na photoz za kutosha. Baada ya miezi kadhaa akaja tena church nikakutana nae, na bahati mbaya nilivaa nguo zile zile.
Ilibidi nimwambie tuu "hizi nguo zina baraka maana kila nikizivaa nakutana na wewe" halafu nikamgomea kupiga picha, asije post watu wakamuuliza "hizi ni sare za kampuni gani anazovaa huyu Dada"?
 
Mkuu vaa nguo ambazo hajawai kukiona nazo iwe kauka nikuvae.
 
May be zinamfanya awe comfortable kuliko nguo nyingine or ni self made uniform
 
unavaa nguo mpaka malafiki zako wakienda madukani wakiona nguo Kama ile wanaibatiza majina Belo rich
 
hahahahahaahha
Nilikutana na friend angu church baada ya muda bila kuonana. Tukapiga selfie na photoz za kutosha. Baada ya miezi kadhaa akaja tena church nikakutana nae, na bahati mbaya nilivaa nguo zile zile.
Ilibidi nimwambie tuu "hizi nguo zina baraka maana kila nikizivaa nakutana na wewe" halafu nikamgomea kupiga picha, asije post watu wakamuuliza "hizi ni sare za kampuni gani anazovaa huyu Dada"?
 
Sasa usiombe ukutane na Mack Zuk wa facebook yan tajir lakin atamkuta na Tshet na jins yan kama anaishi kwa code ivi
 
Yaani mpka yeye anadhani kila siku anazokutana na wewe ni jumatano maana alikukutaga na hizo nguo jumatano
 
Back
Top Bottom