Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo kuwa na adabu kwa baba zako!Hujaelewa maada inahusu nn ndo maana umepuyanga [emoji23]
nisiende mbali,mm nipo kariakoo nipo na rafiki yangu uvumilivu ulimshinda na kunieleza""KWANINI KILA NIKIJA NAKUTA UMEVAA T-SHIRT NYEKUNDU??" nikawa sina majibu.Wadau hivi haijawahi kuwatokea kuna mtu mnakutana nae na kila akikuta anakukuta na nguo zile zile yaani ata mkae miezi miwili alafu siku ukikutana nae anakukuta na nguo zile zile yaani unatamani umwambie ninazo nyingi.
Ha ha haWadau hivi haijawahi kuwatokea kuna mtu mnakutana nae na kila akikuta anakukuta na nguo zile zile yaani ata mkae miezi miwili alafu siku ukikutana nae anakukuta na nguo zile zile yaani unatamani umwambie ninazo nyingi.
Nilikutana na friend angu church baada ya muda bila kuonana. Tukapiga selfie na photoz za kutosha. Baada ya miezi kadhaa akaja tena church nikakutana nae, na bahati mbaya nilivaa nguo zile zile.
Ilibidi nimwambie tuu "hizi nguo zina baraka maana kila nikizivaa nakutana na wewe" halafu nikamgomea kupiga picha, asije post watu wakamuuliza "hizi ni sare za kampuni gani anazovaa huyu Dada"?
Hutoamini kabisa ila ndio huwa inatokeaUmepiga tambara zako li t-shirt kubwaa ndio unakutana na nao 😀😂😂😂😂😂
U
Ujaelewa mada.
Hujaelewa maada inahusu nn ndo maana umepuyanga [emoji23]