Hivi itachukua miaka mingapi Tanzania ijiendeshe bila misaada?

Hivi itachukua miaka mingapi Tanzania ijiendeshe bila misaada?

Mnaa200

Member
Joined
Mar 23, 2023
Posts
88
Reaction score
75
Wajuzi na watabiri wa mambo naombeni mnisaidie itachukua miaka mingapi nchi yetu ijiendeshe yenyewe.

Ni aibu kwa taifa lilopata Uhuru zaidi ya miaka sitini tunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k nje ya nchi.
 
Kwa hapa tulipofikia ni ngumu sanaa, yule mzee alijitahidi lakini wote ni mashahidi yaliyotokea, narudia tena ni ngumu. Tuendelee tu kuendana na beat.
 
Wajuzi na watabiri wa mambo naombeni mnisaidie itachukua miaka mingapi nchi yetu ijiendeshe yenyewe..

Ni aibu kwa taifa lilopata Uhuru zaidi ya miaka sitini tunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k nje ya nchi.
impossible
 
Hilo sio suala la kutabiri. Lina hitaji tufikra pevu kutambua, Na Kwa kweli halitaweza kutokea kamwe hata iweje. If you go a deep insight tatizo kubwa sio Samia, sio Chadema, sio Ccm, sio wazungu or anything else.

The Problem is " Ni kwa namna gani kwa mtu Mmoja Mmoja huku kwetu anavyofanya mambo yake na akafanikisha vyema kabla ya kuwa na elimu ya darasani " Sasa the vast majority huku ndio wako hvyo hawezi fanya jambo (lolote) likawa na + impact kuuubwa kwnye jamii. Kwa Mfano Big companies nyingi ni za wat weupe na si kwmba hakunaga WaTz walioanza biashar 40yrs back wapo ila tu hawawez ku'attain that Top weng wanaishia a level kama ya kubadiri magari.

So hio inaingia katika Mambo yote ya kibanadamu sio tu biashara, hence tunajikuta tunawategemea wazung kwa namna yoyote mikopo na uwekezaji yani waje watufanyie wao sisi hatuwezi hatujakamilika na hatuweza kukamilika We are captives
 
Wajuzi na watabiri wa mambo naombeni mnisaidie itachukua miaka mingapi nchi yetu ijiendeshe yenyewe.

Ni aibu kwa taifa lilopata Uhuru zaidi ya miaka sitini tunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k nje ya nchi.
Itajiendesha ili hali kila mahali kuna upigaji
 
Taifa litafikia kujitengemea ikiwa kila mzazi akianza na kumfundisha mwanae jinsi/elimu ya kujitegemea, uzalendo, nidhamu na bidii kwenye kazi.
 
Wajuzi na watabiri wa mambo naombeni mnisaidie itachukua miaka mingapi nchi yetu ijiendeshe yenyewe.

Ni aibu kwa taifa lilopata Uhuru zaidi ya miaka sitini tunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k nje ya nchi.
Hilo ni mpaka nchi iwe na uongozi thabiti hasa utakaotengeneza mifumo thabiti ya kiuchumi.

Fikiria nchi kama Russia, mpaka miaka ya hivi karibuni imekuwa inasaidiwa na G7, itakuwa sisi ambao mpaka leo hatutengenezi hata mtambo wa aina yoyote!!
 
Wajuzi na watabiri wa mambo naombeni mnisaidie itachukua miaka mingapi nchi yetu ijiendeshe yenyewe.

Ni aibu kwa taifa lilopata Uhuru zaidi ya miaka sitini tunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k nje ya nchi.
Angalau miaka 200.
 
Back
Top Bottom