Hivi itachukua miaka mingapi Tanzania ijiendeshe bila misaada?

Hivi itachukua miaka mingapi Tanzania ijiendeshe bila misaada?

Hivi itachukua miaka mingapi Tanzania ijiendeshe bila misaada?​

Pale wale wanaotoa na kupokea rushwa, wezi na wabadirifu wa mali za umma na watu Serikalini kunyongwa hadharani.
 
tunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k nje ya nchi.
Hilo halizuiliki, ila wapigwe kodi za juu, halafu wale wazalishaji wa ndani wapewe kipaumbele na kodi nafuu...hayo majangili yanayoleta bidhaa hizo watajirudi
 
Taifa litafikia kujitengemea ikiwa kila mzazi akianza na kumfundisha mwanae jinsi/elimu ya kujitegemea, uzalendo, nidhamu na bidii kwenye kazi.
Kwa hiyo ile elimu ya kujitegemea ya mwalimu ilikuwa ni muhimu?
 
Wajuzi na watabiri wa mambo naombeni mnisaidie itachukua miaka mingapi nchi yetu ijiendeshe yenyewe.

Ni aibu kwa taifa lilopata Uhuru zaidi ya miaka sitini tunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k nje ya nchi.
Labda nchi hiyo igawanyike tupate mataifa mengine kama mawili au manne!
 
Sio miaka ni bali ni siku moja,endapo Kama chama Cha majambazi ccm kitatoka madarakani
 
Wajuzi na watabiri wa mambo naombeni mnisaidie itachukua miaka mingapi nchi yetu ijiendeshe yenyewe.

Ni aibu kwa taifa lilopata Uhuru zaidi ya miaka sitini tunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k nje ya nchi.
Haitatokea, na kwa hulka ya wizi usioisha!
 
Back
Top Bottom