Hilo sio suala la kutabiri. Lina hitaji tufikra pevu kutambua, Na Kwa kweli halitaweza kutokea kamwe hata iweje. If you go a deep insight tatizo kubwa sio Samia, sio Chadema, sio Ccm, sio wazungu or anything else.
The Problem is " Ni kwa namna gani kwa mtu Mmoja Mmoja huku kwetu anavyofanya mambo yake na akafanikisha vyema kabla ya kuwa na elimu ya darasani " Sasa the vast majority huku ndio wako hvyo hawezi fanya jambo (lolote) likawa na + impact kuuubwa kwnye jamii. Kwa Mfano Big companies nyingi ni za wat weupe na si kwmba hakunaga WaTz walioanza biashar 40yrs back wapo ila tu hawawez ku'attain that Top weng wanaishia a level kama ya kubadiri magari.
So hio inaingia katika Mambo yote ya kibanadamu sio tu biashara, hence tunajikuta tunawategemea wazung kwa namna yoyote mikopo na uwekezaji yani waje watufanyie wao sisi hatuwezi hatujakamilika na hatuweza kukamilika We are captives