SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Hilo halizuiliki, ila wapigwe kodi za juu, halafu wale wazalishaji wa ndani wapewe kipaumbele na kodi nafuu...hayo majangili yanayoleta bidhaa hizo watajiruditunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k nje ya nchi.
Kwa hiyo ile elimu ya kujitegemea ya mwalimu ilikuwa ni muhimu?Taifa litafikia kujitengemea ikiwa kila mzazi akianza na kumfundisha mwanae jinsi/elimu ya kujitegemea, uzalendo, nidhamu na bidii kwenye kazi.
Labda nchi hiyo igawanyike tupate mataifa mengine kama mawili au manne!Wajuzi na watabiri wa mambo naombeni mnisaidie itachukua miaka mingapi nchi yetu ijiendeshe yenyewe.
Ni aibu kwa taifa lilopata Uhuru zaidi ya miaka sitini tunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k nje ya nchi.
Haitatokea, na kwa hulka ya wizi usioisha!Wajuzi na watabiri wa mambo naombeni mnisaidie itachukua miaka mingapi nchi yetu ijiendeshe yenyewe.
Ni aibu kwa taifa lilopata Uhuru zaidi ya miaka sitini tunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k nje ya nchi.