Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
Ishi kwa kufanya mema tu, ndio kinga yake!Leo nimelitazama jua kwa muda kidogo kwa jinsi linavyochoma wakuu hii hisia ikanijia je? Kama ndio jehanamu alafu dunia nzina itatupwa ndani yake alafu ni jambo la milele nyie nyie eeeh!
Hivi wakuu jua mnalionaje?
Kwa mujibu wa fizikia ya sasa na kwa kuangalia nyota nyingine zilizo kama jua, jua haliwezi kuwaka milele. Litamaliza nuclear fusion inayolifanya liwake katika miaka takibani bilioni 4.5 ijayo.Leo nimelitazama jua kwa muda kidogo kwa jinsi linavyochoma wakuu hii hisia ikanijia je? Kama ndio jehanamu alafu dunia nzina itatupwa ndani yake alafu ni jambo la milele nyie nyie eeeh!
Hivi wakuu jua mnalionaje?
Leo nimelitazama jua kwa muda kidogo kwa jinsi linavyochoma wakuu hii hisia ikanijia je? Kama ndio jehanamu alafu dunia nzina itatupwa ndani yake alafu ni jambo la milele nyie nyie eeeh!
Hivi wakuu jua mnalionaje?
hao jamaa watakua na wazimu kidogo.. walipue thn!?NASA wanataka kulilipua.
Wauni washasanukia niniNASA wanataka kulilipua.
Nani huyo mkuu"Anajiko.. anajikosha
Anajikooooo.. anajikosha"
"Lelele.. leleleleleeeee
Lelele... leleleeeeee"
"Awiii... awaaa:
Nawaza tu kama mionzi yake inaleta mpaka kansa huko sijui itakuajeAsante kwa ugunduzi.. made in ilala
Kwa mujibu wa fizikia ya sasa na kwa kuangalia nyota nyingine zilizo kama jua, jua haliwezi kuwaka milele. Litamaliza nuclear fusion inayolifanya liwake katika miaka takibani bilioni 4.5 ijayo.
Jua ni nyota, linaonekana kubwa hivyo kwa sababu ni nyota iliyo karibu tu.
Mkuu hii article ni kabambe so wataweza kufuse out iyo energy kwa scientific ways au sioKwa mujibu wa fizikia ya sasa na kwa kuangalia nyota nyingine zilizo kama jua, jua haliwezi kuwaka milele. Litamaliza nuclear fusion inayolifanya liwake katika miaka takibani bilioni 4.5 ijayo.
Jua ni nyota, linaonekana kubwa hivyo kwa sababu ni nyota iliyo karibu tu.
Niliwahi kulifikiria hili kitambo sana,
Japo siamini, maana vitabu vitakatifu vinasema siku za mwisho, Jua litatiwa Giza, litakuwa jeusi kama gunia la singa.
Na mwezi utakuwa mwekundu kama damu!
Niliwahi kulifikiria hili kitambo sana,
Japo siamini, maana vitabu vitakatifu vinasema siku za mwisho, Jua litatiwa Giza, litakuwa jeusi kama gunia la singa.
Na mwezi utakuwa mwekundu kama damu!
Labda katika ushairi, si katika hesabu.Mkuu miaka billioni si ndio milele yenyewe iyo aaaah
Ila wakuu jua linachoma heeeLabda katika ushairi, si katika hesabu.
Mimi naona kama vile kuvuka miaka 500 ijayo tu ni kashehe.Mkuu hii article ni kabambe so wataweza kufuse out iyo energy kwa scientific ways au sio