Hivi itakuaje kama JUA ndio jehanamu / ziwa liwakalo moto?

The irony is, watu wengi wanaogopa moto wa Jehanam, ambao haupo, kuliko global warming/ climate change, ambayo ipo na matatizo yake yashaanza kujionesha.
 
Hawa NASA hawa
Nasa hata sisi tunayo, ipo Mwanza. Kulikuwa na ginnery ya kuchambua pamba.

Hata Hamza Kalala kaiimba katika Masumanda.

" Nalehaya kwiza Nasaa, aleyo naleduma

E hela ndoho kongono"

Tafsiri

"Nataka kuja Nasa, lakini nashindwa

Kwa sababu sina hela".

Tumeshindwa kwenda kama NASA.

Ehela ndoho kongono!
 
Mkuu umeniongezea siku bure
 
The irony is, watu wengi wanaogopa moto wa Jehanam, ambao haupo, kuliko global warming/ climate change, ambayo ipo na matatizo yake yashaanza kujionesha.
Mkuu unawaza positive sana mpaka raha
 
Hakuna uthibitisho wa kisayansi kwamba kuna sayari nyingine yenye ku support uhai kama ilivyo dunia.
 
Kwahyo baada ya hio miaka kupita jua litazima??
 
Mungu sio mkatili ivyo achome kazi ya mikono yake wakati anasema anatupenda.nazani.ni vitisho tu tupate kumtii mungu.
 
Hakuna uthibitisho wa kisayansi kwamba kuna sayari nyingine yenye ku support uhai kama ilivyo dunia.
Inategemea na unamaanisha nini unapoandika "yenye ku support uhai kama ilivyo dunia".

Uhai ni neno pana, do you mean icrobial life? Complex life?

Unatumia criteria gani kusema sayari hii ina support life na hii hai support life?

Pia, kukosekana uthibitisho kunaweza kuwa kunatokana na uwezo mdogo katika vifaa vya kutafuta sayari hiyo, si kutokuwepo kwa sayari hiyo, so it may just be a matter of dedicating time and resources to this quest.

See The 6 Most Earth-like Alien Planets


 
Ila wakuu jua linachoma heee


Mkuu Saint_Mwakyoma yote haya yalisha tabiriwa tayari kitambo sana.

Ukisoma vitabu vitakatifu vimeandikwa nyakati za mwisho Jua litaongezwa ukali na kuwachoma wanadamu kwasababu ya maovu yao. Wataungua mpaka watatafuna ndimi zao!

Soma Ufunuo wa Yohana 16: 8-9

8 "Na malaika wa nne akakimimina chetezo chake juu ya Jua, nalo likapewa kuwaunguza wanadamu kwa moto."

9 "wanadamu wakaunguzwa maunguzo makubwa, nao wakalitukana jina la Mungu aliye na mamlaka kuu ya mapigo hayo; wala hawakutubu wala kumpa utukufu!"
 
Leo nimelitazama jua kwa muda kidogo kwa jinsi linavyochoma wakuu hii hisia ikanijia je? Kama ndio jehanamu alafu dunia nzina itatupwa ndani yake alafu ni jambo la milele nyie nyie eeeh!

Hivi wakuu jua mnalionaje?
Mkuu uliwezaje kuliangalia tu?
 
Mkuu sio poa kwaio tumshukuru Mungu kwa jua kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…