Hivi itakuja kutokea duniani muimbaji bora wa kike kama Whitney Houston?!



Kwa akili yako....ukijumlisha Awards won zinafikia 640+ kweli? Binafsi sioni uzuri wa muziki wake, mi napenda muziki wa Bongo tu.
 
Hata Mama yake pia alikuwa mwimbaji mzuri. Anazo Grammy Awards pia. Inasemekana ndiye aliyem mentor...
 
WH alibahatika kutoka kwenye familia njema na hivyo kupata Promo ya ajabu mno.

Mama yake alishaimba na makundi ya muziki mengi na mmoja ya wanamuziki ni Luther Vandrous ambaye kila mahojiano aliomba wampigie wimbo wa HW.

Moja ya watu wa karibu kwenye familia ni Chaka Khan kama shangazi na Binamu yake Dionne Warwick kama sijakosea.

Mmoja ya wanawake wenye sauti ya kuliza watu ni Mama Aretha Franklin ambaye nakiri nimekuwa mpenzi wake hadi alipokuja Brandy na kumrithi.

Sema tu Mama alikuwa ni type nyingine ya show na HW type nyingine ya show. Mama alikaa na kupiga kinanda mwenyewe huku akiimba....

Angalia Obama anavyotoa chozi lake la kushoto kwa jinsi Mama anavyoimba wimbo wake mashuhuri ambao hata Celine Dion aliurudia.

 
Namba tano mtoe Beyonce muweke Alicia Keys, ukibisha tafuta performance yake ktk BET awards 2016, yaani kuanzia sauti hadi vyombo yupo vizuri sana, Beyonce promo zina mbeba.
 
Namba tano mtoe Beyonce muweke Alicia Keys, ukibisha tafuta performance yake ktk BET awards 2016, yaani kuanzia sauti hadi vyombo yupo vizuri sana, Beyonce promo zina mbeba.
 


Ongeza all at once , na ready for love
 
Canada inaongozwa na queen Elizabeth by honor.
 
Huyu Mama na kumzidi umri BB bado BB ndiye amfundishe HW kutumia unga? Acheni uongo kama hamfahamu historia ya watu.

Whitney alikuwa mtumia unga kwa miaka mingi tu ila sema familia walificha au hawakutaka kuliona hilo na wakaja wakapata jalala la kutupia lawama.

Wee mtu alishatoka na akina Eddy Murphy, Jermain Jackson, Scott Pippen nk ndiyo kuja kuokotwa na kitoto BB by the time.

Mama ndiyo maana alikuwa amekauka mwili kwa miaka mingi kwa sababu Cocca inakausha mwili na mtu anakuwa hana Maziwa wala Makalio.

Hebu angalia huu wimbo ambao aliimba wakati hajawa bado na BB jinsi alivyochonga na kubaki mifupa. Cocca inachongesha watu si kawaida.


Wakulumiwa ni Boby Brown kwa kumfundisha huyu mlimbwende kubwia unga. So sad.
 
Sasa uongo uko wapi hapo bwashee? Kwamba Whitney alikuwa abwii unga? Kwamba hakuwa anabwia unga na BB? Haya mambo wote tunasoma tu kutoka source mbalimbali na usilete ujuwaji...

Nikikuuliza tu mmatumbi mwenzio Ray C ni nani kamfundisha kubwia unga unaweza kutowa maelezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…