Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Itakuwa kawaida tu, na ni matokeo ya kawaida wala hakutakuwapo jipya. By the way hii mechi ni Simba vs Kaizer Chiefs, sio ligi ya bara hiiHivi itakuwaje kama Simba Sc akapindua meza kwa Mkapa?
Wazulu tutawakeketa na nyie nyani wa Utopolo tutawakeketa mchana kweupeeeeeeHabari.
Nimewaza hapa haraka haraka hizi kelele za hawa wanamsimbazi/wamatopeni siku ya kesho wakiweza kupindua meza?
Sijui ujasiri wameutoa wapi pamoja na kipigo cha mbwa koko ila bado wana kelele hadi sasa.
Sasa itokee ndio wamepindua meza kibabe itakuwaje mtaani?
Ila haya yote ni kujipa moyo tu wanajua kabisa wanaenda kukutana na moto mwingine.
Nawasilisha Mzee Mkoloni
Cc: Kichwa Kichafu
Kesho wasauzi wanakufa,kidimbwi fc mtulie.
Nakúnya standWataenda nusu fainali.
Sema kabisa Stand ipi?Nakúnya stand
Kupindua Meza unatakiwa ushinde goli 5-0 huku ukilinda goli lako ili adui asije akapata away goal,
Sio kazi ndogo but hakuna linaloshindikana,
Good luck SSC.
Toa Kasesera yako kabisa watu wakuletee moto wa hatariNakúnya stand