Hivi itakuwaje kama Simba SC akapindua meza Kwa Mkapa?

Hivi itakuwaje kama Simba SC akapindua meza Kwa Mkapa?

Habari.

Nimewaza hapa haraka haraka hizi kelele za hawa wanamsimbazi/wamatopeni siku ya kesho wakiweza kupindua meza?

Sijui ujasiri wameutoa wapi pamoja na kipigo cha mbwa koko ila bado wana kelele hadi sasa.

Sasa itokee ndio wamepindua meza kibabe itakuwaje mtaani?

Ila haya yote ni kujipa moyo tu wanajua kabisa wanaenda kukutana na moto mwingine.

Nawasilisha Mzee Mkoloni

Cc: Kichwa Kichafu
Jiulize pia Simba ikipigwa au kutolewa kwenye mbio hizi Haji manara atakuwa na hali gani?
 
Mwendo mmeumaliza salama!

Hongereni Wanamsimbazi Kwa Kupambana!
 
kama watapindua meza, wallah wallah Magufuli atafufuka.
Mweh
IMG_20210522_190304.jpg
 
Back
Top Bottom