Hivi itakuwaje kama Simba SC akapindua meza Kwa Mkapa?

Hivi itakuwaje kama Simba SC akapindua meza Kwa Mkapa?

Mpaka hivi sasa meza ishainama miguu ishainuka kesho ni kumalizia tu kuipindua.
Simba nguvu moja.
 
Simba ipi ya kupindua meza??? Kesho mikia fc wanapigwa tena 4G . Tukiwaambia nyie ni underdog mtuelewe
 
Simba ikipindua meza yanga wataona aibu kwasabab mda mwingi wanaiwazia simba jinsi itakavyo chomoa goli nne kesho kuliko hata simba yenyew iwazavyo ..!!
 
Zamani ITV kulikua na kipindi kinaitwa Football Mundia kulikua kuna segment inaitwa African Magic.

Wakipindua meza nafikiri hiyo mechi itakua na angalau magoli matatu ya kustahili kuingizwa hapo kwenye African Magic.

Na Canal + kuna kipindi kinaitwa Match of Ze Day yaani mechi inachambuliwa kuanzia players, magoli, makocha, vitambo kila kitu. Simba wakifanya hivyo mechi inastahili kua hapo kwenye Match of Ze Day
 
Ikitokea hivyo utopolo wataandika barua CAF Simba wanyan'ganywe ushindi kwasababu roho zitawauma sana.
 
Back
Top Bottom