Hivi itakuwaje siku Messi na Ronaldo wakachezea timu moja?

Hivi itakuwaje siku Messi na Ronaldo wakachezea timu moja?

Wapendwa tunaopenda mpira hivi hii hali ya messi na ronaldo siku wakachezea timu moja inakuaje hapo?

Wote kuutafuta ubingwa wa mchezaji bora au mfungaji bora katika timu moja?

Watashindana kama walivyo sasa katika timu tofauti?
Penye udhia tia shekeli.. Hakuna lisilowezekana chini ya jua

Jr[emoji769]
 
Wapendwa tunaopenda mpira hivi hii hali ya messi na ronaldo siku wakachezea timu moja inakuaje hapo?

Wote kuutafuta ubingwa wa mchezaji bora au mfungaji bora katika timu moja?

Watashindana kama walivyo sasa katika timu tofauti?
Walishachoka hao. Kitu Mbappe.
 
Mafahali wawili hawakai zizi moja.

Umesahau Neymar alivyoishi pale Barcelona chini ya kivuli cha Messi. Umesahau Neymar huyo huyo baada ya kwenda PSG akawa anagombea ufalme pale na Cavani mpaka kufikia kunyang'anyana mipira ya fouls na penalties.

Simply katika team moja mastaa wakitaka ku shine lazima washirikiane yani pasiwe na uchoyo na umimi.

Kama unakumbuka trio ya Ronaldo, Rooney na Park pale Man U enzi za SAF. Walo strive kwasababu ya ushirikiano wao. Lakini bwana Ronaldo baada ya kutengeneza jina pale ametaka kuwa top yeye kama yeye. Tofauti na Messi ambae ni more of a team player.

Hivyo hawa jamaa ikitokea wakawa teama moja (sio rahisi kutoka na wote wako kwenye "jioni" ya career zao). Basi lazima Ronaldo apotee na ataishi kama Neymar chini ya kivuli cha Messi.
Ni kama ilivyoshindikana kwa Samuel Etoo na Leonel Messi pale Barca.
 
Ronaldo offered to Barcelona
1 hour ago 08:15

Cristiano Ronaldo has been offered to Barcelona as Juventus look to reduce their gigantic wage bill. With the Serie A champions hit hard financially by the Covid-19 pandemic, the club is looking to get rid of Ronaldo's mammoth contract and have contacted Barcelona about their interest, according to Spanish journalist Guillem Balague. Ronaldo was Juve's top scorer during the recent season with 35 goals in all competitions.
 
Back
Top Bottom