Mafahali wawili hawakai zizi moja.
Umesahau Neymar alivyoishi pale Barcelona chini ya kivuli cha Messi. Umesahau Neymar huyo huyo baada ya kwenda PSG akawa anagombea ufalme pale na Cavani mpaka kufikia kunyang'anyana mipira ya fouls na penalties.
Simply katika team moja mastaa wakitaka ku shine lazima washirikiane yani pasiwe na uchoyo na umimi.
Kama unakumbuka trio ya Ronaldo, Rooney na Park pale Man U enzi za SAF. Walo strive kwasababu ya ushirikiano wao. Lakini bwana Ronaldo baada ya kutengeneza jina pale ametaka kuwa top yeye kama yeye. Tofauti na Messi ambae ni more of a team player.
Hivyo hawa jamaa ikitokea wakawa teama moja (sio rahisi kutoka na wote wako kwenye "jioni" ya career zao). Basi lazima Ronaldo apotee na ataishi kama Neymar chini ya kivuli cha Messi.