Hivi itanigharimu kiasi gani nikitaka kufungua studio ndogo ya kurekodi Muziki?

Napinga kwa sababu hivi vitu naviptia kila aiku katika tasnia ya production mkuu. Ukisema ulete unafuu in the long run inacost sana watu. Investment ya kununua vifaa ni kitu ambacho kinafanyika mara moja tu na kinaepusha stress ya kuharibikiwa vifaa kabla returns za investment hazijarudi
 

Kumbe Mzee unazungumzia bei za kibosibosi za kisifasifa
PC tu mln 2 anaenda kuedit MOVIE au ni producer mmoja ndo nilowahi muuzia PC tupu laki 7 na ni kwa 7bu anafanya sana nyimbo za band lkn wote PC zao wameenda mbali sana full katoa laki 5
Software laki nane siriazi mkuu mbongo atoe laki umuwekee software tu kwa studio hizi za kitaani
wakati kwangu laki tu na hata 50 namtilia full software na plugins
 
Mixer ni ya lazima mkuu.
Sijaona studio (hizi za Tanzania) ambayo haina mixer. Kama una kwaya ama bendi, mic 6 ama 7 na mavifaa yote utayaungaje? Labda utuelimishe zaidi. Mic interface pekee nadhani haitatosha. Angalia Bongo records, Wasafi, MJ Records, Mazuu, B Hitz, Sound Crafters ama Fish Crab. Wote wana Mixers
 
Mkuu mm namwambia boss agiza hichi na hichi kisha tutaauza mm siongei kwa kuuliza kwa mtu nimetaja bei vitu vipo hapa hvyo tunauza kulingana na tulivyonunua kuna brand new na used mara nyingi tools za ghalama inafaa used ili kuendana na soko la kibongo ila hivi nafuu hata vipya sawa 7bu mtu anaweza kuaford
vifaa vya studio ukitaka ufaidi nunua OG usifate mihemko ya maneno ya watu
Unachoongea wewe ni quality tools ambazo ni ghalama sana
Kwa mfano original studio one software
fist tyme naiona bongo mwaka 2013 nimeitwa niinstall ilikuwa na dvd Cd za 8gb zipo tano ambapo mshikaji alinununua DENMARK ambapo kwa kibongobongo thamani yake ilikuwa si chini ya laki 8 ya 3 user na lirudi na PC nyingne ili kuweza gonga plugin za studio one smooth ila toka hapo mpk leo ikitoka update analipa laki 2 kupata newversion hiyo software 1 tu
 
Sawa mkuu, kama unafahamu zaidi waweza kumsaidia katika hilo. Huo ni mchango wangu binafsi tu. Na pia ninapozungumzia software za production nyinyi mnarahisisha sana haya mambo eti elfu hamsini unapata full software na hapa sizungumzii hizi purity sijui nexus au nomad factory, nazungumzia software pamoja na expansion zake kama kontakt 6 pamoja na libraries zake, Omnisphere 2.6, heat up 3, waves 11, plugin alliance na nyinginezo ambazo zinatofautisha sound ya studio za mtaa na mainstream studios. Sasa hizi software kiuhalisia hazihitaji mashine ya kitoto.
 
Nimeshatolea maelezo kuwa mixer inatumika kuongeza nguvu kwenye output signal ya sound card kwenda kwenye speakers. Sasa kama unaelewa teknolojia inafanyaje kazi unatakiwa tu kununua sound card yenye njia nyingi na sio mixer. Halafu pia usichanganye mixer na kifaa kinachoitwa digital console maana vinafanana.
 
Mkuu, dhana ya mihemko ni ile ya kwenda tu na kununua vifaa bila kufanya utafiti wa aina yeyote. Ila hapa tunatoa uzoefu wa kila mmoja wetu ili mtoa mada aweze kufanya maamuzi sahihi katika kukamilisha hitaji lake.

Dhana ya software ni pana sana na kwa uzoefu wangu ni wazi kuwa atahitaji kuwa na software nzuri zaidi ili kuhakikisha anapata matokeo bora.

Na je, unafahamu ni adha gani mtu anapata kudownload software ya gb 188 kutoka mtandaoni kwa ajili ya ku install kwenye mashine?
 
Km unasema kkoo mashine ndo hizohizo wanazotumia wenzako sema wewe unanunua bei kubwa
7bu kkoo nzima unayosema sijaona desktop ya mln 2 hizi ninavyojua mm specs zake
7bu mln 2 unaunda PC mwenyewe si ya mchezo kwa kununua vitu kimojakimoja na kuunda

lkn kwa kkoo PC ya maan kabisa ni laki 5 mpk 7 na nusu ambazo ni HP Zseriez au HP xw workstaion ama dell precision Xps au lenovo think centre ambazo ukziiikuta iko full na ram zake 16 gb na card ya 1gb kwa laki 5 mpk 7 na nusu kutegemeq na gen yake unapata safii kabisa
 
Hapana mkuu atubishani mm nakueleza km mfanya biashara na soko la mtaani 7bu mtu ata AVAST kulipia tu dola 20 anaona nyingi mbna
Anakwambia fulani kadownload tu na kila siku anatumia
sasa unadhani mtu km huyo ndo umuwekee software za lk 8 !?

Tukubaliane tu kitu kimoja ishu za studio zimeingiliwa now kila mmoja producer kila mmoja anauza vifaa vya studio kila msanii anataka kuwa na studio yake sasa unaenda kumuweka software anakwambia niuzie abaki nazo na yeye mwisho unamuuzia lkn zinaishia kuliwa na malware yaan yapo mambo mengi sana ambapo km unataka uende kwa standard zenyewe kwa bongo unafeli
 
Nilienda kuulizia mashine ya hp core i7 generation ya 8 na wakaniambia hiyo bei. Na hata ukienda posta nadhani bei itakuwa hiyo hiyo. Mashine ya laki saba ndio utapata lakini itakuwa used na pia siyo generation ya saba kwenda mbele. Labda kama utapata system unit peke yake uiupgrade halafu utumie tv kama display
 
Jamaa yangu amefungua studio na Sasa inafanya Production tayari, Ana record Bongo fleva na Gospel na Miziki mingine....

Binafsi nimemfanyia Sound proof, Vifaa vya studio pekee katumia around 2.5 millions pekee, but hiyo ni nje ya Computer, coz Alikua na Powerful Laptop Ndo anatumia kwa sasa na studio ina Ubora mkubwa...

Ukipenda nicheck nikupeleke kwenye Studio yake, ukajionee mwenyewe, pia utajifunza kutoka kwake mwenyewe...
 
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu. Hii fani imeingiliwa sana na kila mtu anajua kila kitu au watu na hiyo mimi binafsi huwa na kuwa kimya mpaka pale matatizo yakitokea ndio waje kuniuliza vizuri tena.

Hizi software za kudownload muda mwingi huwa zinakuja na malware au hack tools na mwisho wa siku huharibu mashine na inawacost watu wengi sana kwa kupoteza data. Kama nikifanya installation ya software basi binafsi naweka guarantee ya hizo software kutoleta madhara katika pc.
 
Mkuu, nilihitaji kufanya treatment ya studio ila nilipoambiwa hiyo bei nikasema ngoja nikafanye diy mwenyewe tu kwa sababu gharama ya material hata haifiki laki tano na ikizidi sana ni laki saba kulingana na chumba ninachtumia kama studio.
 
Kwaiyo ebu mkuu tuaminishe S2KIZZY alifungua studio kwa kiasi ngani?
 

A MAN CALLED J, EXPLAINS HOW TO DO IT , SOUND RECORDING TO GET THE BEST THAT LISTENERS WANT TO HEAR AND ENJOY

Source : AILTV ONLINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…