Hivi Jack Pemba ni tapeli?

Hivi Jack Pemba ni tapeli?

Jack Pemba ageukia urembo

na Dina Zubeiry
KAMPUNI ya Global Scouting Bureau (GSB), imetoa tiketi nne kwa Kamati ya Miss Tanzania kwenda na kurudi Poland kumshangilia mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Miss World, Wema Sepetu.
Akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye Mgahawa wa Hadees, Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa GSB, Jack Pemba alisema kwamba tiketi moja kati ya hizo atapewa mwandaaji wa Kitongoji cha Dar Indian Ocean, Mange Kimambi.
Pemba alisema kwamba atagharamia safari ya Mange katika bajeti nyingine na akatoa dola 7,500 (sawa na sh 9,750,000) kwa wanakamati hao zilizopokelewa na Mkurugenzi wa kamati hiyo, Hashim Lundenga. Shindano hilo linatarajiwa kufanyika Septemba 30.
Pemba alisema hatua hiyo inatokana na kuunga mkono wito uliotolewa na Mkurugenzi wa Kituo vha Uwekezaji Tanzania (TIC), Emmanuel ole Naiko, kuomba wadau mbalimbali kuchangia jitihada za kwenda kumuunga mkono Miss Tanzania.
"Pia ni uzalendo nilionao pamoja na kuthamini sanaa hii ya urembo ambayo inakua kwa kasi. Naomba watu na mashirika mengine wajitokeze kudhamini kwa namna moja ama nyingine," alisema.

source: http://www.freemedia.co.tz/daima/2006/9/19/habari65.php
 
naomba bwana yebo yebo upitie hii thread kabla ya kulaumu passports za watu kuwa online
 
....mzee wa ngwasuma!

....wale wanaoenda pale msasani club au zamani makumbusho wanajua!
 
nadhani ana uraia wa nchi 2, i think.

Kuna cartoon moja ya kipanya ilimwonyesha Jack Pemba na kipanya akatabiri/akatahadharisha kuwa karibuni tutasikia huyu bwana anagombea ubunge.

Labda hii kitu ni blessing kwa watanzania lakini nijuavyo mimi wapo wengi wa aina ya ndugu yetu huyu. Wengi ambao baada ya kujenga nguvu za kiuchumi kwa njia za kiujanjaujanja sasa wanajenga umaarufu kwa kutumia madhila ya watanzania. Wengine wengi wameshatinga Dodoma wakiwa katika sura za kiuheshimiwa. Wengine wengi wanategemea kuingia katika baraza la wateule hivi kupitia chaguzi zao hivi karibuni.

Na vilevile nadhani hata kama tunahitaji kufanya mambo kwa kasi mpya bado tunapaswa kuendelea kuthamini procedures zilizowekwa kumlinda rais wetu hata kama procedure hizohizo ndizo zinatumika kumweka mbali na wananchi wenye nia thabiti ya kusaidia nchi yetu.

Ukweli ni kuwa matukio kama haya yanawafaidisha wale ambao wanaona wamekosa umuhimu waliouzoea tangia rais wa nne ambaye tofauti na aliyepita, yeye anapenda kuwa mtu wa watu na proactive in actions (baadhi yeke). Na zaidi yanawafaidisha wale ambao wanaona kuwa kwake karibu na watu wa pembeni ya mfumo maalum kunahatarisha maslahi yao binafsi.

Hii ni changamoto kwake na kwa wote wenye nia safi naye na nchi yetu kwa ujumla.

Tanzanianjema
 
Jack Pemba ana mchumba bongo anaitwa Aunt Ezekiel Greyson, kwa sasa binti ana mimba. Binti hajui kuwa Jack ana mke UK.

Jamaa kaingia mjini kwa vurugu sana...
 
Tanzania Con Job
THE BIG QUESTION??? WHO ALL IS INVOLVED??
As GSB is dedicated to doing good business, GSB has suspended operations in Tanzania and has begun an internal investigation on the following people: The following person has been questioned and requested to come to USA for further assistance in rectifying the situation. At this point, there is NO evidence of his involvement, however he is responsible for introducing the Buyer and Seller.

THE BIG QUESTION??? WHO ALL IS INVOLVED??
As GSB is dedicated to doing good business, GSB has suspended operations in Tanzania and has begun an internal investigation on the following people: The following person has been questioned and requested to come to USA for further assistance in rectifying the situation. At this point, there is NO evidence of his involvement, however he is responsible for introducing the Buyer and Seller.
Source
http://www.globalscoutingbureau.com/tz.htm
__________________
 
Jack Pemba ana mchumba bongo anaitwa Aunt Ezekiel Greyson, kwa sasa binti ana mimba. Binti hajui kuwa Jack ana mke UK.

Jamaa kaingia mjini kwa vurugu sana...


N a huyo mkewe MZUNGU halijui hilo sasa kama kuna mtu anajua fitna basi ni nafasi nzuri sana hiii...Na haswa yule kijana wa KIPEMBA ambaye jack alitaka kumuua kwa bastola London

to be continued......
 
Ahaaaaa fitina sio nzuri🙂

Huyu Binti alikuwa MKE halali wa jamaa mmoja wa kiarabu (kama Mpemba hivi)...na alishiriki miss Tanzania, ame act na Jack Pemba film inaitwa Miss Bongo!!

Itafuteni
 
last week ilitolewa taarifa rasmi na GLOBAL SCOUTING ya USA kuwa hawamtambui huyu JP na cha kujiuliza ilikuwaje mpaka akapata access ya kuonana na Rais JK? inawezekana ikawa IDDI KIPINGU ndiye aliyechora michongo yote...hii ni aibu kwa nchi

ile link ya news za last week nimeipoteza lakini kama kuna mtu anayo tafadhali hebu iposti..

Once again watu wa JAMBO FORUM mmekuwa one step ahead na mliliona hili 6 months ago na leo yamekuwa kweli
 
Brazameni,

4 ur information still more 2 come! stay tuned...
 
Brazameni,

4 ur information still more 2 come! stay tuned...

I am loving every moment of JACK PEMBA saga...sasa yebo yebo yuko wapi alikuwa analalama kuwa passports za watu zinabandikwa on internet

Huyu JP nakumbuka alibandika hii passposrt yake online kwenye michuzi blog na website yake sasa naona KIBAO KIMEGEUKA

I LOVE JAMBO FORUMS
 
Unajua hii kesi ya JP ina unfold kama ya akina Mc Cann kule Portugal the difference here is sisi we never had a fibre of doubt kuhusus JP na haijapita miezi 5 tayari ukweli ushajianika wenyewe
 
box la nini wakatiJOB CENTRE ipo?

baadae unajua kuna mechi ya Israel na ENGLAND-soccer

Jioni kuna England na USA-Rugby

kisha ntamalia na England v/s India-Cricket

kesho Jumapili kuna suala zima la FORMULA 1 hivyo lazima tumsupport Lewis Hamilton

sasa hivi kuna VENUS v/s HENIN yaani life from Flashing meadows, New York

at the same time tutaendelea kumchambua huyu Jack Pemba
 
Back
Top Bottom