Hivi Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi kaishia wapi?

Hivi Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi kaishia wapi?

Ni mwezi wa 4 huu siku hizi simuoni Jackline N Mengi akipost tena instagram, nimemiss picha zake za Bata na motivational quotes zake..

Mwenye latest ubuyu kuhusu jacky Mengi atugee

Analea watoto...na tupo tuonao mlea yeye
 
Atakuwa anapitia kipindi kigumu sana huyu dada, na mashosti nao wamemkimbia kina Nancy sumari, hafu watoto alishawatoa Ile shule Yao.
Klin alikosea ku foji hyo will wachagga hulea watoto, Sasa yeye akawachokoza wapalestina Matokeo ndio haya. Aende Moshi xmass hii na masale akawaangukie wale wazee wa ukoo wamsamehe na wampe share zake, ikiwezekana awakabidhi wale watoto walelewe na ndugu wa mengi yeye aendelee na maisha yake
Duuh kawatoa pale IST aiseee na mtu hata mia ya ada ulikua hutoi
 
Atakuwa anapitia kipindi kigumu sana huyu dada, na mashosti nao wamemkimbia kina Nancy sumari, hafu watoto alishawatoa Ile shule Yao.
Klin alikosea ku foji hyo will wachagga hulea watoto, Sasa yeye akawachokoza wapalestina Matokeo ndio haya. Aende Moshi xmass hii na masale akawaangukie wale wazee wa ukoo wamsamehe na wampe share zake, ikiwezekana awakabidhi wale watoto walelewe na ndugu wa mengi yeye aendelee na maisha yake
Hee sasa kama wale watoto mapacha wa Mengi wametolewa ist, sahiv wanasoma shule gani cariha
 
Mzee wa miaka 75 kweli aendelee kuishi.

Biblia imeandika miaka 70 ndio umri wa kuishi zaidi ya hapo ni bonus tu.

Jack wa watu vitu vingine tunamsingizia

Kwa penz jack alilompa mzee uzeeni limemuongezea siku za kuishi. Nina uhakika bila penz tamu la jack mzee asingefika 75 age
Hilo andiko liko kitabu gn na mstari wa ngapi?!
 
IPP huko ndio mama wa watoto keshaharishia kambi. Karo za IST bila kulipiwa na mwajiri/kampuni ni shughuli pevu. Dubai public schools ni nzuri. Anaweza peleka watoto public school na wakapata elimu nzuri.
Wale watoto walikuwa wanalipiwa na IPP sio hela zake yule, Sasa huko Dubai wataishije
 
Mzee wa miaka 75 kweli aendelee kuishi.

Biblia imeandika miaka 70 ndio umri wa kuishi zaidi ya hapo ni bonus tu.

Jack wa watu vitu vingine tunamsingizia

Kwa penz jack alilompa mzee uzeeni limemuongezea siku za kuishi. Nina uhakika bila penz tamu la jack mzee asingefika 75 age
Watu wana wivu wa kiboya sana.
Mengi alikuwa mgonjwa wa miaka mingi tu tangu enzi za akina Ritha sliiuwa hata kudandia hawezi hadi aandaliwe masaa 2 kwa mujibu wa Ritha.
Jambo lingine slipigwa na stroku enzi za tra kubambikizia Kodi...mzee alizima kwa muda na upande mmoja ukwa umeparalaizi.
Binti wa watu wanabebeshwa zigo bure
 
Njoo kinondoni nyuma ya Ubaloz wa switzerland ndo anapokaa
 
1640107902137.png

Shule nzuri Dubai ? Na kwani analipa yeye ?school fees zinalipwa na IPP
 
Back
Top Bottom