Hivi Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi kaishia wapi?

Ni mwezi wa 4 huu siku hizi simuoni Jackline N Mengi akipost tena instagram, nimemiss picha zake za Bata na motivational quotes zake..

Mwenye latest ubuyu kuhusu jacky Mengi atugee

Analea watoto...na tupo tuonao mlea yeye
 
Duuh kawatoa pale IST aiseee na mtu hata mia ya ada ulikua hutoi
 
Hee sasa kama wale watoto mapacha wa Mengi wametolewa ist, sahiv wanasoma shule gani cariha
 
Hilo andiko liko kitabu gn na mstari wa ngapi?!
 
IPP huko ndio mama wa watoto keshaharishia kambi. Karo za IST bila kulipiwa na mwajiri/kampuni ni shughuli pevu. Dubai public schools ni nzuri. Anaweza peleka watoto public school na wakapata elimu nzuri.
Wale watoto walikuwa wanalipiwa na IPP sio hela zake yule, Sasa huko Dubai wataishije
 
Watu wana wivu wa kiboya sana.
Mengi alikuwa mgonjwa wa miaka mingi tu tangu enzi za akina Ritha sliiuwa hata kudandia hawezi hadi aandaliwe masaa 2 kwa mujibu wa Ritha.
Jambo lingine slipigwa na stroku enzi za tra kubambikizia Kodi...mzee alizima kwa muda na upande mmoja ukwa umeparalaizi.
Binti wa watu wanabebeshwa zigo bure
 
Njoo kinondoni nyuma ya Ubaloz wa switzerland ndo anapokaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…