Hivi jamaa yenu yu wapi? Kitambo sana

Kufanyiwa kitendo kama kile pasipo kudhamiria lazima utamani kutoweka dunia maana ni zaidi ya aibu

Lkn angekua kama ile ya amberuty angeendelea kudunda tu
Ni kweli maana jinsi alivyodanganywa alidhani haitavuja
 
Nmehuzunika sana kwa ajili yake..uyo kaka alikua na roho ya kishetan haswaa
Alitumia juhudi kubwa sana kufanikisha hilo maana actress alikuwa anakataa sana.

Kila stage alikuwa anaset kamera tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Si ndio actress kafanya kwa kujilazimisha...sasa sijui alikua anamkomoa nn huyo dada wkt ata yeye kajidhalilisha ndugu zake nao wameona show yake[emoji3]
 
Kumbuka huyo actress alikuwa ni wa Kigogo na huenda jamaa alisota sana kumnasa ndio maana alijipanga na kuhakikisha anachukua tukio zima. Jamaa hawezi kujutia maana lengo lake lilishatimia ila maumivu ndio yalibaki kwa actress
 
Mbaya Sana! Inasikitisha
 
Kumbuka huyo actress alikuwa ni wa Kigogo na huenda jamaa alisota sana kumnasa ndio maana alijipanga na kuhakikisha anachukua tukio zima. Jamaa hawezi kujutia maana lengo lake lilishatimia ila maumivu ndio yalibaki kwa actress
Ata huyo kaka kama ana utu lazima alikuja jutia pamoja na kufanya kwa kudhamiria
 
Ni kweli, ila kuna watu roho ngumu na yeye mmojawapo.

Ebu fikiria kuna mangapi kayafanya ambayo hayakuvuja.

Kikubwa tujifunze kulingana na hii sinema, maana ina mafunzo mengi sana ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…