casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
Kumbe alikuwa mzoefu 😂😂akajifanya kuhamisha wakati jamaa amepita bila shida ameteleza kama nyoka pangoni.Uyo Dada wala sio mpole alikuwa hakosi club la Aziz na club 84
Watu walikuwa wanajipigia tu , ndo maana hate jamaa alipokosea njia topeni wala hakushtuka Ni mtumiaji wa mitandao yote