Yule anaitwa Priyanka alikuwa ana uhusiano na Frank anayefanya na Rajesh. sasa Frank hajatulia kimapenzi Priya akashika ujauzito wake na Frank sijui akawa hayuko tayari kulea mtoto akashauri aitoe. Priya hakukubali na uhusiano ukafa na Rajesh came into the picture akawa anamliwaza Priya mpaka wakadevelop a bond wakawa wapenzi.
..wale walikuwa kikazi zaidi..walikuja kuharibu wakipombadirisha Mjuba radha ikapotea...Hivi Mjuba ndio alikuwa anamtokea yule mtoto wa Jesca Brown?? jina lake nimesahau....I wish nimuone Dama leo anafananaje??hawa walikuwa waigizaji aisee!!! I never missed a season ya tausi ukizingatia I was majukumuless those days!!!
Kuna yule mtu anaitwa Mponda yeye na hubby wake Kibibi jamaa anapendwa akiwa na chapaa tu akilost demu anamtoa mbio kwa kweli wale ndio walikuwa wananifurahisha sana..
..wale walikuwa kikazi zaidi..walikuja kuharibu wakipombadirisha Mjuba radha ikapotea...Hivi Mjuba ndio alikuwa anamtokea yule mtoto wa Jesca Brown?? jina lake nimesahau....I wish nimuone Dama leo anafananaje??
Frank naye hajatuliaga........anajishughulisha sana
they have the thing na loly au??????????
Kuna mtu mzima Papa G na yule jamaa yake mwenye nywele za carl wanamitkasi fulani huwa siwaelewi kabisa..Duh ! Papa G na manyuzi yake ananikumbusha jamaa tulikuwa nae college...Jamaa kila wakati suruali iko mukanda juu, cheni kama 8 hivi zinaning'inia shingoni na shati amefungua vifungu viwili kifua kinaonekana anatembea anachagua sehemu za kukanyaga!!! This life jamani...mh!
eeee wako wote sasa hivi wale
binafsi mpk sasa hakuna tamthilia kAma Prison Break...
1. Michael
2. Linc
3. Sucre ama Sukari
4. Alex Mahon
5. Kamanda Theodoro ama T-Bag
6. Mtoto Sara
7. marehemu Brad Berrick
8. Marehemu John Abruzzi
9. General
10. Lechero
11. Avocardo ambaye alikuwa anakaa room # 88.
Hichi kipisi cha Baba kilikuwa kinawafturu wenzie balaa.
Yaani kila mfungwa aliyeingizwa room yake ilikuwa ni kuliwa makalio tu.
Tamthilia hii inanifurahisha zaidi coz muda woote ina mchakamchaka.
Tofauti na tamthilia zenu hizo sijui Paco, sijui Mamushka mara sijui uharo gani aah...
la mujer na the promise zilikuwa balaa;kwa the promise beat actress wangu alikuwa madam claudia kwa la mujer barbarita
binafsi mpk sasa hakuna tamthilia kAma Prison Break...
1. Michael
2. Linc
3. Sucre ama Sukari
4. Alex Mahon
5. Kamanda Theodoro ama T-Bag
6. Mtoto Sara
7. marehemu Brad Berrick
8. Marehemu John Abruzzi
9. General
10. Lechero
11. Avocardo ambaye alikuwa anakaa room # 88.
Hichi kipisi cha Baba kilikuwa kinawafturu wenzie balaa.
Yaani kila mfungwa aliyeingizwa room yake ilikuwa ni kuliwa makalio tu.
Tamthilia hii inanifurahisha zaidi coz muda woote ina mchakamchaka.
Tofauti na tamthilia zenu hizo sijui Paco, sijui Mamushka mara sijui uharo gani aah...
Gang Gomba naipenda sana Prison Break...
StarringMichael Scofield ana sura ya upole na huruma kweli kweli