Hivi jamani humu hamna wapenzi wa tamthiliya

Hivi jamani humu hamna wapenzi wa tamthiliya

Yule anaitwa Priyanka alikuwa ana uhusiano na Frank anayefanya na Rajesh. sasa Frank hajatulia kimapenzi Priya akashika ujauzito wake na Frank sijui akawa hayuko tayari kulea mtoto akashauri aitoe. Priya hakukubali na uhusiano ukafa na Rajesh came into the picture akawa anamliwaza Priya mpaka wakadevelop a bond wakawa wapenzi.

Frank naye hajatuliaga........anajishughulisha sana

they have the thing na loly au??????????
 
hawa walikuwa waigizaji aisee!!! I never missed a season ya tausi ukizingatia I was majukumuless those days!!!
..wale walikuwa kikazi zaidi..walikuja kuharibu wakipombadirisha Mjuba radha ikapotea...Hivi Mjuba ndio alikuwa anamtokea yule mtoto wa Jesca Brown?? jina lake nimesahau....I wish nimuone Dama leo anafananaje??
 
Kuna yule mtu anaitwa Mponda yeye na hubby wake Kibibi jamaa anapendwa akiwa na chapaa tu akilost demu anamtoa mbio kwa kweli wale ndio walikuwa wananifurahisha sana..

wale wasanii wa tausi walikuwa poa sana.there was a sense of reality in their acting.tofauti na hawa wa kibongo...picha ikianza tu uanjua itaishaje
 
Isidingo mi huwa naingalia kwa msimu.............ikinichosha naacha nikikumbuka tena naanza kuibia, sasa naon aimefika miles n miles
 
..wale walikuwa kikazi zaidi..walikuja kuharibu wakipombadirisha Mjuba radha ikapotea...Hivi Mjuba ndio alikuwa anamtokea yule mtoto wa Jesca Brown?? jina lake nimesahau....I wish nimuone Dama leo anafananaje??

Mtoto wa Jessica Brown alikuwa Tina
 
Kuna mtu mzima Papa G na yule jamaa yake mwenye nywele za carl wanamitkasi fulani huwa siwaelewi kabisa..Duh ! Papa G na manyuzi yake ananikumbusha jamaa tulikuwa nae college...Jamaa kila wakati suruali iko mukanda juu, cheni kama 8 hivi zinaning'inia shingoni na shati amefungua vifungu viwili kifua kinaonekana anatembea anachagua sehemu za kukanyaga!!! This life jamani...mh!
 
jamaa yake aitwa Slu aka Wat Wat.......such an obidient servant lol!!!

Papa G papa G kweli mipete mia mbili, cheni sabini hivi, hereni duh!!!!
 
eeee wako wote sasa hivi wale

hahaa jana Papa G aliniacha hoi anavomuugulia Ma Agness when it came to getting ana approval for casino/gambling b'ness from the town counsil knowing mama Zebedii atakuwa pale kazi si rahisi. Shurti Slu aliamuriwa kurudisha udirinki kwenye fridge
 
binafsi mpk sasa hakuna tamthilia kAma Prison Break...

1. Michael
2. Linc
3. Sucre ama Sukari
4. Alex Mahon
5. Kamanda Theodoro ama T-Bag
6. Mtoto Sara
7. marehemu Brad Berrick
8. Marehemu John Abruzzi
9. General
10. Lechero
11. Avocardo ambaye alikuwa anakaa room # 88.
Hichi kipisi cha Baba kilikuwa kinawafturu wenzie balaa.
Yaani kila mfungwa aliyeingizwa room yake ilikuwa ni kuliwa makalio tu.

Tamthilia hii inanifurahisha zaidi coz muda woote ina mchakamchaka.
Tofauti na tamthilia zenu hizo sijui Paco, sijui Mamushka mara sijui uharo gani aah...
 
Pamoja, kuna vichwa kama Paul KellerMan, Gletchen (Mdada katili), Don Self, J Whisler, bila kumsahau General.
 
la mujer na the promise zilikuwa balaa;kwa the promise beat actress wangu alikuwa madam claudia kwa la mujer barbarita

Namkumbuka madam claudia na ukatili wake ila mi wangu alijuwa Yna na angelo bounevista. Nilikuwa nawapenda sana.

Jana nimerudi uswahili very late hata sikuona isidingo........mwenye update pls.
 
Mie napenda wewe unapenda tuanze na ipi
Shade of Sins inaelekea kuisha

Don't mess with an Angel
Hidden Passion

Or
 
binafsi mpk sasa hakuna tamthilia kAma Prison Break...

1. Michael
2. Linc
3. Sucre ama Sukari
4. Alex Mahon
5. Kamanda Theodoro ama T-Bag
6. Mtoto Sara
7. marehemu Brad Berrick
8. Marehemu John Abruzzi
9. General
10. Lechero
11. Avocardo ambaye alikuwa anakaa room # 88.
Hichi kipisi cha Baba kilikuwa kinawafturu wenzie balaa.
Yaani kila mfungwa aliyeingizwa room yake ilikuwa ni kuliwa makalio tu.

Tamthilia hii inanifurahisha zaidi coz muda woote ina mchakamchaka.
Tofauti na tamthilia zenu hizo sijui Paco, sijui Mamushka mara sijui uharo gani aah...

Gang Gomba naipenda sana Prison Break...
StarringMichael Scofield ana sura ya upole na huruma kweli kweli
 
Dont mess with an angel inanikuna sana.
i like the way marichuy anavowaendeshaendesha,
ni masikini asieruhusu ntu amwonee kirahisi,yuko wazi sana kiasi kwamba huwezi kupredict atadu nini next

the impostor inaniboa kiasi,vilio vingi mno na inatabirika mwisho wake.aaah :A S tongue:
 
Gang Gomba naipenda sana Prison Break...
StarringMichael Scofield ana sura ya upole na huruma kweli kweli

mimi 24 inanikeshesha na the wire bomba kweli, prison break waliniuth kumuua michael yaani pale ndo walinionyesha kwamba hawatungi ingine,na kama kuna tamthilia iliniuthi na ilinichanganya na bado nikawa addicted nayo ni lost.
 
ktk Prison Break bana kuna Gereza la kuitwa SONA.
Mmmh jamani humo ndani ni Balaa.
Humo ndo kuna Nyapara wa kuitwa Lechero na msaidizi wake wa kuitwa Sammy.

Doh humu ndani hakufai,
Coz mtu akikususia mguu wa kwio tu basi zitalika hapo mpk mmoja adedi.
 
Mimi tamthilia mbili ndo zinazonifanya kiti kiwe kitamu kukikalia masaa yote ni PRISON BREAK na LOST! Haya mengine yamejaa maneno matupu.

FUNDISHO:

1. PRISON BREAK: inanifundisha kukabilaiana na mazingira magumu popote pale ulipo na ndo maana wameigiza katika mazingira tofauti ya mjini,porini,sehemu za viwandani na hata gerezani na jinsi ya kuhandle familia yako ukiwa katika mazingira magumu. Safi sana hii movie.

2. LOST: Hii inanifundisha yafuatayo: Kucare watu, jinsi ya kujinasua, jinsi ya kuishi na wakorofi, jinsi ya kuishi na watu wa tamaduni tofautitofauti kama wale wa Wajapan, maisha ya porini yaani mambo mengi yakiwemo mapenzi,na hili la mwanamke mjamzito anatakiwa aishi vipi na mazingira ya porini. Yaani imekaa vizuri hiyo LOST.
 
Back
Top Bottom