MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hebu nipe mji ndugu yangu: Maana naogopa kuitwa mchawi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Malcom hem' fanya kautafiti ka mwandiko basi mtu wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah sasa kakimbia tu.....Ana ID mpya sasa hivi mkuu.
Labda useme tukusaidie kukuonyesha.
Hata mimi niko busy.busy
Becky hii dunia inaenda kasi sana.Bado anachangamsha jukwaa..sad hujamuona..lol
Hapana, MBITIYAZA hakuwa mtu wa hivyo bwana.Humu ke wengi wakishajuana na member kadhaa wa jinsia me nje ya JF huamua kubadili Id kukwepana kiaina maana wanakosa uhuru.
Humu ke wengi wakishajuana na member kadhaa wa jinsia me nje ya JF huamua kubadili Id kukwepana kiaina maana wanakosa uhuru.
Namanisha kujuana kwa kwichikwichi, maana mwingine humu katoka na mtu mbili au tatu na zote zimebwaga hana njia nyingine zaidi ya kubadili idKujuana kwa namna gani?labda kama wamejuana kiasi cha kuphuck na kumwagana......lakini kujuana kama kujuana sidhani kama ni big deal hata kumfanya mtu akimbie ID yake
Namanisha kujuana kwa kwichikwichi, maana mwingine humu katoka na mtu mbili au tatu na zote zimebwaga hana njia nyingine zaidi ya kubadili id
UnasemaLoh!hata ningekuwa mie nisingekuwa na namna nyingine tofauti na kubadili ID aise!