MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Unajua sijamuona huyu jamaa yangu kitambo sana hadi leo nikajiuliza amekimbilia wapi. Alikuwa anachangamsha sana jukwaa na moja kati ya wadau niliokuwa nawakubali mno. Popote pale ulipo MBITIYAZA mimi Malcom Bin Lumumba nakukumbuka sana .