Hivi jamani huyu MBITIYAZA yuko wapi ???

Hivi jamani huyu MBITIYAZA yuko wapi ???

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Unajua sijamuona huyu jamaa yangu kitambo sana hadi leo nikajiuliza amekimbilia wapi. Alikuwa anachangamsha sana jukwaa na moja kati ya wadau niliokuwa nawakubali mno. Popote pale ulipo MBITIYAZA mimi Malcom Bin Lumumba nakukumbuka sana .
 
Humu ke wengi wakishajuana na member kadhaa wa jinsia me nje ya JF huamua kubadili Id kukwepana kiaina maana wanakosa uhuru.

Kujuana kwa namna gani?labda kama wamejuana kiasi cha kuphuck na kumwagana......lakini kujuana kama kujuana sidhani kama ni big deal hata kumfanya mtu akimbie ID yake
 
Back
Top Bottom