HIVI JAMII FORUM WAMEANZA KULIPA KAMA KWA ELON?

HIVI JAMII FORUM WAMEANZA KULIPA KAMA KWA ELON?

JF hawalipi mkuu

hizo mada za kukera ni zipi?
Najua kabisa hawalipi hivyo swali nimeuliza kama kushangaa au kejeli

Sio wote tunasifa ya kuwa fanani wengine tumeumbwa kuwa hadhira. Kuhusu mada zinazokera pita kwenye comment (ata mimi kunakipindi niliwahi pokea komenti hii "tunajaziana threads zisizo na umuhimu uku" na jamaa alikuwa sahihi kutoka apo nikajifunza kuna vitu sio lazima nifanye)

Mtu kuleta Habari ambayo inaacha maswali kuliko majibu iyo kwangu ni kero

Mapungufu kwenye uwandishi inakata sana stimu ya kusoma hii
 
Back
Top Bottom