Hivi Jenerali Augustino Pole Pole ni mwanajeshi wa nchi gani?

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
1,147
Reaction score
2,919
Watanganyika wenzangu, naomba kufahamishwa kuhusu uanajeshi wa huyu mwamba aliyetoa masaa 24.

Huyu mjeda ni mwanajeshi wa nchi gani na yupo wapi kwa sasa?

By the way nayasubiria kwa hamu masaa 24 yapite ili kazi ianze
 
Kama ulimsikiliza vizuri kwenye moja ya video zake, alisema yeye anahudumu NATO kama colonel - senior officer... na kama somo la historia ulilisoma vizuri huko primary au hata o level, utajua kwamba NATO ni mataifa western ambayo Mr Putin hataki Ukraine ajiunge nayo..Mpaka hapo sasa jibu ni kwamba anaweza kuwa wa nchi yeyote kati ya hizo mwanachama wa NATO... nJE YA MADA, Kumjua ni wa nchi gani inakusaidia nini? Yeye anataka kumuokoa mdogo wake... siku akiwatumua drones toka huko NATO ndipo wataamka toka usingizini... ?
 
Any commonweath citizens, raia wa nchi za jumuiya ya madola, nchi zilizotawaliwa na UK anaruhusiwa kujiunga na jeshi la UK. Wapo Watanzania wengi tu.

Ukiwa kwenye jeshi la UK unaruhusiwa kujiunga na NATO. Maana yake kuomba kazi yoyote.
 
Kama ulimsikiliza vizuri kwenye moja ya video zake, alisema yeye anahudumu NATO kama colonel - senior officer... na kama somo la historia ulilisoma vizuri huko primary au hata o level, utajua kwamba NATO ni mataifa western ambayo Mr Putin hataki Ukraine ajiunge nayo..Mpaka hapo sasa jibu ni kwamba anaweza kuwa wa nchi yeyote kati ya hizo mwanachama wa NATO... nJE YA MADA, Kumjua ni wa nchi gani inakusaidia nini? Yeye anataka kumuokoa mdogo wake... siku akiwatumua drones toka huko NATO ndipo wataamka toka usingizini... ?
Kwa anavyojiamini huyu jamaa anaweza kuwagonga na drone aisee
 
😁😁😁😁 Last paragraph 🙌
 
Huko kwenye majeshi ya NATO - western, Drones ndio siraha yao kuu, Kama huyu Augustino Akiwa kwenye kitengo hicho cha drones, airushe huko ndani ndani kwenye mikutano ya Samuya, magaguro lazima yachanike bila ajizi 🙂
 
Kwa anavyojiamini huyu jamaa anaweza kuwagonga na drone aisee
Amekua mstaarabu sana tena sana ila wamempuuza na watu sasa wameanza kumsema vibaya wamemuacha peke yake wakati polepole alikua anawapigania watanzania wote akamwaga ugali mchachafya RA sana tu akahamia kwa BRN T akapiga mpaka kwa Samuya, sasa wapo baadhi wanaanza kumbeza na maneno mabaya.. ogopa mtu anaezifuga hasira zake ndani siku anapozitoa utajua kua kimya kingi hua kina mlio.. sawa na paka uliemfungia ndani kisha ukamshikia rungu ili umuue utatoka ndani huna macho
 
Kama ulimsikiliza vizuri kwenye moja ya video zake, alisema yeye anahudumu NATO kama colonel - senior officer... na kama somo la historia ulilisoma vizuri huko primary au hata o level, utajua kwamba NATO ni mataifa western ambayo Mr Putin hataki Ukraine ajiunge nayo..Mpaka hapo sasa jibu ni kwamba anaweza kuwa wa nchi yeyote kati ya hizo mwanachama wa NATO... nJE YA MADA, Kumjua ni wa nchi gani inakusaidia nini? Yeye anataka kumuokoa mdogo wake... siku akiwatumua drones toka huko NATO ndipo wataamka toka usingizini... ?
Mkuu dhana ya kutumia drone katika vitisho hivyo ndiyo mpango mzima.

Isipokuwa hawezi kuzirusha akiwa maulaya huko, lazima awe karibu na targets zake ili kuziremote controlling.
 
Watanganyika wenzangu, naomba kufahamishwa kuhusu uanajeshi wa huyu mwamba aliyetoa masaa 24.

Huyu mjeda ni mwanajeshi wa nchi gani na yupo wapi kwa sasa?

By the way nayasubiria kwa hamu masaa 24 yapite ili kazi ianze
Itafahamika - subiri kwanza "ALE VICHWA" alivyoviweka kwenye wishlist then You’ll see the news on TV describing his biography.
 
Kama ulimsikiliza vizuri kwenye moja ya video zake, alisema yeye anahudumu NATO kama colonel - senior officer... na kama somo la historia ulilisoma vizuri huko primary au hata o level, utajua kwamba NATO ni mataifa western ambayo Mr Putin hataki Ukraine ajiunge nayo..Mpaka hapo sasa jibu ni kwamba anaweza kuwa wa nchi yeyote kati ya hizo mwanachama wa NATO... nJE YA MADA, Kumjua ni wa nchi gani inakusaidia nini? Yeye anataka kumuokoa mdogo wake... siku akiwatumua drones toka huko NATO ndipo wataamka toka usingizini... ?
Huo ndiyo ukweli kwani anachotaka ni mdogo wake aachiwe mara moja, endapo watakaidi agizo lake ndipo watapewa jawabu linalowasitahili
 
Back
Top Bottom