Hivi Jenerali Augustino Pole Pole ni mwanajeshi wa nchi gani?

Hivi Jenerali Augustino Pole Pole ni mwanajeshi wa nchi gani?

Amekua mstaarabu sana tena sana ila wamempuuza na watu sasa wameanza kumsema vibaya wamemuacha peke yake wakati polepole alikua anawapigania watanzania wote akamwaga ugali mchachafya RA sana tu akahamia kwa BRN T akapiga mpaka kwa Samuya, sasa wapo baadhi wanaanza kumbeza na maneno mabaya.. ogopa mtu anaezifuga hasira zake ndani siku anapozitoa utajua kua kimya kingi hua kina mlio.. sawa na paka uliemfungia ndani kisha ukamshikia rungu ili umuue utatoka ndani huna macho
Wanamkejeli wanampuuza kama walivyopuuza tarehe 29, lakini hawajui kuwa wanazidi kumpandisha Hasira zaidi
 
Kichwa cha Samuya kingekuwa mwanzo mzuri, na tunataka receipt hapa akisha " kula kichwa" in his voice.
 
Huyu jamaa kwa maandishi yake anaonekana yupo kitengo huyu na ametumwa.....
 
Utasubiri sana.
Hakuna mbinu za kijeshi za kumwambia adui yako aongeze ulinzi ili ukamshambulie.
Labda iwe aliongea kwa code ambazo ziko nje ya ufahamu wangu.
Yule nae saund zimekuwa nyingi maelezo kibao labda kama wanatengeneza tukio la jamaa kurudishwa ndo jamaa anatuletea vaku zakupiga mikwara.
 
JF NOW DAYS IMEGEUKA KAMA KIJIWE CHA KULA GOMBA,YULE MWEHU HATA SIFA YA KUWA MGAMBO HANA ETI ANAONGOPA YUKO NATO NA WAJINGA WANAKUBALI...

KICHAA KAMA YULE ANAWEZA KUWA KANALI TENA NATO?

TEH TEH TEH...
 
Utasubiri sana.
Hakuna mbinu za kijeshi za kumwambia adui yako aongeze ulinzi ili ukamshambulie.
Labda iwe aliongea kwa code ambazo ziko nje ya ufahamu wangu.
Wanajeshi wa bongo mna mbinu gani pimbi nyie mnakoromewa na polisi?
 
Ndivyo waasi wanavyotengenezwa hivyo!!
 
Mkuu dhana ya kutumia drone katika vitisho hivyo ndiyo mpango mzima.

Isipokuwa hawezi kuzirusha akiwa maulaya huko, lazima awe karibu na targets zake ili kuziremote controlling.
Itakuwa safi Saba Akiweza kuzirusha. Drones ni hatari Sana Kwa viongozi maana kuzidhibiti hawawezi…
Putin anajua habari zake.
 
Colonel alisema anazo nyaraka muhimu. Hii kulipiza anamaanisha ataziweka hadharani.
 
Nimekumbuka muvi la Rambo linaitwa FIRST BLOOD NO 2
 

Attachments

  • IMG-20251127-WA0005.jpg
    IMG-20251127-WA0005.jpg
    88.1 KB · Views: 18
Back
Top Bottom