Wakimwachia polepole haraka ataachana naoItafahamika - subiri kwanza "ALE VICHWA" alivyoviweka kwenye wishlist then You’ll see the news on TV describing his biography.
Wanamkejeli wanampuuza kama walivyopuuza tarehe 29, lakini hawajui kuwa wanazidi kumpandisha Hasira zaidiAmekua mstaarabu sana tena sana ila wamempuuza na watu sasa wameanza kumsema vibaya wamemuacha peke yake wakati polepole alikua anawapigania watanzania wote akamwaga ugali mchachafya RA sana tu akahamia kwa BRN T akapiga mpaka kwa Samuya, sasa wapo baadhi wanaanza kumbeza na maneno mabaya.. ogopa mtu anaezifuga hasira zake ndani siku anapozitoa utajua kua kimya kingi hua kina mlio.. sawa na paka uliemfungia ndani kisha ukamshikia rungu ili umuue utatoka ndani huna macho
Yule nae saund zimekuwa nyingi maelezo kibao labda kama wanatengeneza tukio la jamaa kurudishwa ndo jamaa anatuletea vaku zakupiga mikwara.Utasubiri sana.
Hakuna mbinu za kijeshi za kumwambia adui yako aongeze ulinzi ili ukamshambulie.
Labda iwe aliongea kwa code ambazo ziko nje ya ufahamu wangu.
Changamoto ni mikwara imekua mingi vitendo zeroHuo ndiyo ukweli kwani anachotaka ni mdogo wake aachiwe mara moja, endapo watakaidi agizo lake ndipo watapewa jawabu linalowasitahili
Wanajeshi wa bongo mna mbinu gani pimbi nyie mnakoromewa na polisi?Utasubiri sana.
Hakuna mbinu za kijeshi za kumwambia adui yako aongeze ulinzi ili ukamshambulie.
Labda iwe aliongea kwa code ambazo ziko nje ya ufahamu wangu.
Relax mkuu.Wanajeshi wa bongo mna mbinu gani pimbi nyie mnakoromewa na polisi?
Wewe ni mwanajeshi uchwara.Relax mkuu.
Mimi sio mjeshi, soma tena nilichoandika kwa uhuru na utulivu utanielewa.
Itakuwa safi Saba Akiweza kuzirusha. Drones ni hatari Sana Kwa viongozi maana kuzidhibiti hawawezi…Mkuu dhana ya kutumia drone katika vitisho hivyo ndiyo mpango mzima.
Isipokuwa hawezi kuzirusha akiwa maulaya huko, lazima awe karibu na targets zake ili kuziremote controlling.
Akirusha kamikaze za mwajemi atakuwa ametisha sana.Itakuwa safi Saba Akiweza kuzirusha. Drones ni hatari Sana Kwa viongozi maana kuzidhibiti hawawezi…
Putin anajua habari zake.
Hizo mbona baraa..Akituma kamikaze za mwajemi atakuwa ametisha sana.
Wakimwachia polepole haraka ataachana nao