hivi jeshi la polisi Tanzania linalinda usalama wa raia wa uingereza na mali zao au linalinda usalama wa raia na mali za mtanzania!!?kwa nini 1919

Polisi ni Chombo cha Serikali. Hivyo kipindi hicho Serikali iliyokuwepo ni ya Uingereza. Tulipopata uhuru tukaunda Serikali yetu na Jeshi liliendelea kuwepo.
 
Lushoto ndiyo mji wa kwanza kuwa na taa za barabarani Tanganyika. Ila kwa sasa umeachwa ujifie kabisa. Angekuwepo mkoloni Muingereza Lushoto ingekuwa kama Davos
 
Polisi ni Chombo cha Serikali. Hivyo kipindi hicho Serikali iliyokuwepo ni ya Uingereza. Tulipopata uhuru tukaunda Serikali yetu na Jeshi liliendelea kuwepo.
kwa hiyo hao polisi walikuwa watanzania au waingereza
 
Lushoto ndiyo mji wa kwanza kuwa na taa za barabarani Tanganyika. Ila kwa sasa umeachwa ujifie kabisa. Angekuwepo mkoloni Muingereza Lushoto ingekuwa kama Davos
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama davos
ndio umeshajifia hivyo
umebaki magofu tu
 
hivi lushoto kulikuwa na nini wakati huo 1919 mpaka mkoloni akaweka makao pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…