Hivi Jeshi la Tanzania lina Special Forces?

special forces | elite , highly trained military forces, specially selected to work on difficult missions
Kwa tafsiri hiyo uliyoweka wapo, ni kama umejijibu mwenyewe.
 
Sasa mfano huyo jamaa ulimueka kwenye aviator aliyekufa Congo je walienda wote makomando Congo?
Kumbe wew huelewi.

Alie kwambia special force wote huenda kwa task ni nan???

Hapo wana chukulia baadhi kwenda kutekeleza kazi,
 
Ishieni kuhoji setikali mliyo ichagua si kihoji mhimili na chombo chabulinzi wa Taifa
 
Hakuna nchi yoyote duniani isiyokuwa na Jeshi kitengo maalum.
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Saddamu Hussein alikuwa nacho aisee, nakumbuka Republican Guards, hiki alikitumia baada ya kuona Wanajeshi wa kawaida wameelemewa.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aisee subiri malawi walete fyoko fyoko atawaona!!ila mkuu siri myingine miza ndani sio za kuanika humu nadhani umenielewa!!
Sidhani kwa dunia ya sasa kujulikana uwepo wa special force ni tatizo sana! Tatizo ni kujulikana members wake kwa utambulisho halisi, training pamoja na missions zao! Hapa kila MTU anaimba majina ya special forces za nchi nyingine na madhara hakuna!
 
Hivi ni chuki au nini... Siku hizi JF imekuwa ukiuliza swali ni kama umeamua kutafuta matusi.
Mtu anakwambia tafuta hela watoto wakale, wakati yeye anazunguka JF kuropoka.
Mambo ya ulinzi sio ya kutaka kuyajua kiholela mkuu, hatujuani hapa mtu anauliza mambo ya ulinzi na usalama wa majeshi anataka kujua ili iweje labda.
Kuna maswali ukiuliza utajibiwa mengine huwezi kujibiwa Never
 
Mambo ya ulinzi sio ya kutaka kuyajua kiholela mkuu, hatujuani hapa mtu anauliza mambo ya ulinzi na usalama wa majeshi anataka kujua ili iweje labda.
Kuna maswali ukiuliza utajibiwa mengine huwezi kujibiwa Never
Acha zako bwana, mbona unaishi kizamani mkuu?
Hivyo vya nchi zingine ukitafuta taarifa zake unazipata, hata ukitaka kuangalia jinsi wanavyofanya mazoezi unaweza ni bando lako tu.

Wewe unakuja hapa kutoa hekaya za uongo kama hivi, hebu zunguka online kwanza ndiyo uanze kulalamika.
 
Mbona una hasira??! Fala ww
 
Mambo ya ulinzi sio ya kutaka kuyajua kiholela mkuu, hatujuani hapa mtu anauliza mambo ya ulinzi na usalama wa majeshi anataka kujua ili iweje labda.
Kuna maswali ukiuliza utajibiwa mengine huwezi kujibiwa Never
Listen... Ameuliza kuna special forces Tanzania? Special forces zinajulikana, sio kitu cha kuficha. Hajauliza majina ya mission walizofanya au siri za nchi. Suala la Special forces kuwa zipo halihusiani na siri za majeshi ya ulinzi na usalama. Ndio maana kila nchi imebainisha
 
Mpeni jibu jamani mbona kuna baadhi ya vitu vinafanywa kuwa vigumu wakati ni rahisi kujibu, mfano mtu akitaka kujua kilipo kitua cha polisi cha Oysterbay kuna tatizo?, duh! Waafrika kweli tumeelewa vibaya kuhusu usalama wakati ngozi nyeupe wanazo hadi museum za kijeshi pamoja na kijasusi.
 
Acha uongo wewe, wanajeshi walioko Congo Drc wapo mchanganyiko yaani makomandoo ( ndio wanaoundwa Tanzania special force)

Pia jwtz Lina special force zake ambazo ni Tanzania Marine Special Force ( TMSF) inaundwa na wanamaji, Air Force Paratroopers special Unit ( inaundwa na wanajeshi wa anga wa miamvuli,
Kuna land Forces Commando ( inaundwa na makomandoo wa nchi kavu)
Kwa hiyo usidanganye mkuu.
 
red brigade nao si special ...[emoji87] [emoji87] .force au....???
 
Ajaribu arudi bila meno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna jamaa mmoja amepitia mafunzo ya kukaanga kokoto kwa mkono wake kama mwiko, kukimbia kivuli chake na kukiacha umbali wa mita 1, kukata umeme nchi nzima kwa kupuliza 'puuuuu', ngoja nimuulize yuko kikosi gani kama si special force
Hahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…