Hivi JF hakuna tunaokula utamu wa mapenzi?!

Tupe tips za kupata watu wa naman hiyo,
Ikiwezekan toa hata location au kabila
 
Na hayo ndio mapenzi, hayawezi kuwa yamenyooka siku zote, kuna moment zake tamu balaa hadi unatamani upate appointment na Rais ukamuhadithie 😂

Anachokisema OKW BOBAN SUNZU ni hali kutwa malalamiko humu as if hakuna watu ambao wameyapatia, nadhani hii ni nature ya binadamu ambao muasisi wa malalamiko kwa mujibu wetu sisi wakristo ni wana Wa Israel 😂

Binafsi naenjoy siku zote changamoto zilizopo ni za kawaida sana ambazo hata mtoto mdogo anaweza kuzitatua.
 
Kuna muda nikiona couple mahali wako na furaha wanaenjoy moments zao huwa nawaza sana kwani hawa hawapo JF?

Sehemu za starehe watu wa wapenzi wao, wengine teenager wengine umri wa kati wengine watu wazima wanaenjoy huwa nawaza hawaijui JF au? Maana humu kutwa makasiriko.

Wengine wameenda mbali zaidi wanasema siku hizi hawaoi, ila kila wikiend kila MC yuko booked na zingine bookings anazikataa, watu wa JF wanaishi sayari ipi?
 
Watu negative wana tabia na power ya kuspread negativity na they are best at it, kuna mtu ukimsoma unajua kabisa huyu ni shetani katika mwandiko wa mwanadamu.

Ya’ll stay positive , mbona maisha murua kabisa out here! 🥂
 
Kwa Watanzania ni rahisi mtu kukusimulia negative issues kuliko positive.
Na mara nyingi mtu akisimulia mafanikio kwenye mapenzi. Response anayopata sio nzuri.
Hii inafanya watu wasipende kusimulia mambo yao mazuri
 
Kwa Watanzania ni rahisi mtu kukusimulia negative issues kuliko positive.
Na mara nyingi mtu akisimulia mafanikio kwenye mapenzi. Response anayopata sio nzuri.
Hii inafanya watu wasipende kusimulia mambo yao mazuri
Well observed mate. 🤝
 
Kwa Watanzania ni rahisi mtu kukusimulia negative issues kuliko positive.
Na mara nyingi mtu akisimulia mafanikio kwenye mapenzi. Response anayopata sio nzuri.
Hii inafanya watu wasipende kusimulia mambo yao mazuri
Huwa nasemaga humu, walio kwenye ndoa kutwa kulalamika wananyimwa unyumba, siku wakipewa wala hawasemi Leo nimepewa.
Ila ndo nature ya binadamu, tunakumbuka mabaya kuliko mazuri.....Mume apewe unyumba mwaka mzima, akinyimwa wiki moja vikao hadi Kwa wazee wa Baraza.....na akianza kupewa upya harudi Kwa wazee aseme jamani nishaanza kupewa🤣🤣🤣🤣
 
Mimi bana nilichogundua wanawake hua wanakinai mapenzi haraka sana! Yaani mwanamke ukiwa unamkula kula kila mara mwanzoni atakua kweli anaenjoy na kutoa ushirikiano ila taratibu muda unavyoenda utaanza kuona anapoteza interest. Itafika mahali anakua hatoi tena ushirikiano kabisa yaani mpaka mzungushane sana au hata akitoa unaona kabisa ni yupo yupo tu ilimradi.
 
Kufanya mema binadamu ni sawa na pikipiki kwenda mbele. Ila kufanya mabaya binadamu ni sawa na pikipiki kurudi nyuma. Nadhani itakuwa ajenda ya mtaa kama kutakuwa na pikipiki imeendeshwa kwa rivers ila ikienda mbele ni jambo lisilohitaji maneno. Maana ni mfumo wa yenyewe
 
Unaturingishia unavyokula utamu..

Mada za huku ni za kuambiwa changanya na zakwako...
Hahaha unaweza kukuta yuko kwa shemeji anapika ugali muda huu😂😂😂😂 jf siyo ya kuingia kichwa kichwa hahaha
 
Siku zote ubaya huvuma kuliko wema,wanaolizwa na mapenzi ni wachache kuliko wanaofurahia,ila wanaofurahia mapema hawaweki hadharani furaha Yao,
Pamoja na kufurahia huko siku ikatokea hata Kwa bahati mbaya mwenza wake akakosea tayari nyuzi ya malalamiko itaanzishwa,kashasahau Yale mema yote,kashasahau zile furaha.
Hongera sana Kwa kutukumbusha kutazama na kuzisemea pande zote mbili
 
😀😀😀😀 nimecheka eti akianza kupewa harudi kusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…