MpiganiaUhuru
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 777
- 912
Nadhani alitaka kusema 'kikazi', ndio usngz wenyewe huo! [emoji12]Kijazi ndio Nini ?
halafu ikawajeNilikuwa na mpenzi wangu,tulipendana kama chomaaaaa
Humu kwenyewe wapo wanalinda hii JF [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379]Humu hawapo. Ukipita kwenye malindo yao sasa hivi wanasinzia wakiwa wameketi
Sasa utalala saa ngapi mkuuMembers tunatofautiana nchi na maeneo tunayoishi so hata muda nao ni tofauti kwa mf,mie nipo DSM sasa HIV ni SAA 2 asubuhi unataka niwe nimelala bado???Hata ukiingia kwa mf live score ktk masuala ya michezo kuna mechi zinachezwa sasa hivi na nyingine hata kuanza bado.
Unemjua mlinzi wa JF? nikutonye kidogo tu..... (ibaki siri yako lakini usimwambie mtu eeee sawa?) ni Joseverest . anatulinda masaa 24Humu kwenyewe wapo wanalinda hii JF [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379]
jamaa kumbe ana usingizi analazimisha ubundi. hahaaaaa. aweke maji kwenye beseni aloweke miguu kama vipiNadhani alitaka kusema 'kikazi', ndio usngz wenyewe huo! [emoji12]
Aliniahidi tungekuja funga ndoaaahalafu ikawaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe Joseverest k.k securty oky hii siri yangu simwambii mtuUnemjua mlinzi wa JF? nikutonye kidogo tu..... (ibaki siri yako lakini usimwambie mtu eeee sawa?) ni Joseverest . anatulinda masaa 24
Mkuu unaishi baa niniKuna jamaa kafungulia sauti ya pc juu na anaimba sijui kapata wazo la nyimbo saiz huyu ndo atafanya nisilale kabisa na kumwambia naogopa ni mbabe
sema tu ukweli wako.... ukilala unaota umetumbuliwaNchi haielewekii hii asaiv waweza ulale ukiamka nje hakupo
Baada ya hapo ikawajeAliniahidi tungekuja funga ndoaaa
hahahaha leo nimeota nyumban tunafuga ng'ombe nimeamka nikazikata zote miguu usiku, sijui inamaana gani hii ndotosema tu ukweli wako.... ukilala unaota umetumbuliwa
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Mkuu unaishi baa nini
Ukiiangalia hii sura utaelewa tuKijazi ndio Nini ?