HIVI JF WATU HUWA HAWALALI

HIVI JF WATU HUWA HAWALALI

Members tunatofautiana nchi na maeneo tunayoishi so hata muda nao ni tofauti kwa mf,mie nipo DSM sasa HIV ni SAA 2 asubuhi unataka niwe nimelala bado???Hata ukiingia kwa mf live score ktk masuala ya michezo kuna mechi zinachezwa sasa hivi na nyingine hata kuanza bado.
 
Sasa utalala saa ngapi mkuu
 
!
!
Nyoosha mkono juu kama na wewe njaa imeshaanza kufanya yake muda Huu..... Ndio nimekuona, shusha halafu Gonga like
 
Ila [HASHTAG]#Joseverest[/HASHTAG] leo kalala kitika lindo
 
Back
Top Bottom