HIVI JF WATU HUWA HAWALALI

ni Masaa nane au saba nyuma kama sikosei kwahiyo saa 8usiku bongo ukitoa masaa 8 nyuma huko ni saa 12 jioni embu piga selfie tuone hilo jua
 
Mkuu mi tangu tuahidiwe Noah za makinikia sijawahi pata usingizi
Nasubiri gawio langu make waweza lala kuamka unakuta Bwana yule kashagawa makinikia za Noah
Haha haha! Ndugu lala tu Yule Mzee hatabariki
Anaweza amka akakwambia amegairi sio Noah tena hizo pesa ameona zikajenge flyover chato!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kwanini ajifiche chooni sasa, halafu nikachonipa wasiwasi ni kuoga saiz huku marangu kuna baridi kali sana so sijamuelewa jamaa au labda hajakatwa govi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] et barid Kali labda katoka kupiga mambo yetu mkuu!!
 
Masaa ya Tropic Country ni usiku. Lakini sehemu nyingine ni asubuhi ya saa nne. Dunia kubwa sana
Jamii Forum is the pride of Tanzania
 
Haha haha! Ndugu lala tu Yule Mzee hatabariki
Anaweza amka akakwambia amegairi sio Noah tena hizo pesa ameona zikajenge flyover chato!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haahahahahh!!!
Mzee atakua kanirostisha balaa make nimeshapata Mchumba kwa kagame na nilimwahidi naenda kumfata na Noah yangu mkuu
 
ni Masaa nane au saba nyuma kama sikosei kwahiyo saa 8usiku bongo ukitoa masaa 8 nyuma huko ni saa 12 jioni embu piga selfie tuone hilo jua
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] smart yangu kamera inashida kidogo mkuu!
 
Haahahahahh!!!
Mzee atakua kanirostisha balaa make nimeshapata Mchumba kwa kagame na nilimwahidi naenda kumfata na Noah yangu mkuu
Haha hahaa !!! ahadi za mkulu zitavunja ndoa za wengi! Maana wanaume Wa kibongo kwa kutongezea magar hamjambo totoz nch Jiran watakoma
 
ni Masaa nane au saba nyuma kama sikosei kwahiyo saa 8usiku bongo ukitoa masaa 8 nyuma huko ni saa 12 jioni embu piga selfie tuone hilo jua

Nimetumia ya Simu ya my friend!
Nipo hapa new York city, mtaloni street 01!
Huku kwetu America na mitaa ina namba, sio huko kwenu bongo lala ni nyumba tu zenye number!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…