Black hermit
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 658
- 951
- Thread starter
- #61
Nimefunga Boss ila nafunga usiku tu mchana yote kuanzia saa11 asubuhi nakula kama kawaduh wew ujafunga na uitimize nia yako ya kula daku saa11
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefunga Boss ila nafunga usiku tu mchana yote kuanzia saa11 asubuhi nakula kama kawaduh wew ujafunga na uitimize nia yako ya kula daku saa11
ni Masaa nane au saba nyuma kama sikosei kwahiyo saa 8usiku bongo ukitoa masaa 8 nyuma huko ni saa 12 jioni embu piga selfie tuone hilo juaKasome kwanza international date linea utapata majibu!
Sio wote member Wa jf tu bongo lala wengine tupo new York city kwa sasa jua linawaka kwetu!
Vile vile hata kwenu huko bongo lala kunawatu Wa night shift wako maofsin sasa hivi wapiga kaz na stor juu
Usiwasahau na jobless a.k.a walevi Wa mtandao addicted people now wapo, kutwa mtandaoni mpaka usku wa manane utadhani wanalipwa!
Haha haha! Ndugu lala tu Yule Mzee hatabarikiMkuu mi tangu tuahidiwe Noah za makinikia sijawahi pata usingizi
Nasubiri gawio langu make waweza lala kuamka unakuta Bwana yule kashagawa makinikia za Noah
ila leo mwisho wa kula daku ni saa 11 na dakika 20Nimefunga Boss ila nafunga usiku tu mchana yote kuanzia saa11 asubuhi nakula kama kawa
Nitaanza kula saa10:30 hadi saa11:20 nitakuwa nimeshamalizaila leo mwisho wa kula daku ni saa 11 na dakika 20
kila la kheriNitaanza kula saa10:30 hadi saa11:20 nitakuwa nimeshamaliza
usilale mkuu ili usizeekeKwani lazima kulala?
Mi nataka yenye rangi ya mgomba (kijani) na ndizi (Njano), Halafu waniwekee na sticker za Jembe na Nyundo [emoji3][emoji3]Kuna jamaa kapendekeza kwenye mgao apewe Noah nyeusi namba 'D'
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] et barid Kali labda katoka kupiga mambo yetu mkuu!!Kwanini ajifiche chooni sasa, halafu nikachonipa wasiwasi ni kuoga saiz huku marangu kuna baridi kali sana so sijamuelewa jamaa au labda hajakatwa govi
Masaa ya Tropic Country ni usiku. Lakini sehemu nyingine ni asubuhi ya saa nne. Dunia kubwa sanaMembers tunatofautiana nchi na maeneo tunayoishi so hata muda nao ni tofauti kwa mf,mie nipo DSM sasa HIV ni SAA 2 asubuhi unataka niwe nimelala bado???Hata ukiingia kwa mf live score ktk masuala ya michezo kuna mechi zinachezwa sasa hivi na nyingine hata kuanza bado.
Haahahahahh!!!Haha haha! Ndugu lala tu Yule Mzee hatabariki
Anaweza amka akakwambia amegairi sio Noah tena hizo pesa ameona zikajenge flyover chato!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] smart yangu kamera inashida kidogo mkuu!ni Masaa nane au saba nyuma kama sikosei kwahiyo saa 8usiku bongo ukitoa masaa 8 nyuma huko ni saa 12 jioni embu piga selfie tuone hilo jua
Hahahaha sawa mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] smart yangu kamera inashida kidogo mkuu!
Haha hahaa !!! ahadi za mkulu zitavunja ndoa za wengi! Maana wanaume Wa kibongo kwa kutongezea magar hamjambo totoz nch Jiran watakomaHaahahahahh!!!
Mzee atakua kanirostisha balaa make nimeshapata Mchumba kwa kagame na nilimwahidi naenda kumfata na Noah yangu mkuu
Kama wewe umelala umewaonaje?Ni saa nane kasoro saiz na naona watu bado wapo online najiuliza kinachowafanya wasilale ni kitu gani?
ni Masaa nane au saba nyuma kama sikosei kwahiyo saa 8usiku bongo ukitoa masaa 8 nyuma huko ni saa 12 jioni embu piga selfie tuone hilo jua
Baada ya kurudi kutoka kusomaaaa..Baada ya hapo ikawaje