HIVI JF WATU HUWA HAWALALI

Nimetumia ya Simu ya my friend!
Nipo hapa new York city, mtaloni street 01!
Huku kwetu America na mitaa ina namba, sio huko kwenu bongo lala ni nyumba tu zenye number!
hiyo kweli NY ila kumefanana na kule Kwa mh Rais Chato
huku sio mtaa hadi Nyumba zina namba mlango ,mitaa ndio kabisa
 
Ni saa nane kasoro saiz na naona watu bado wapo online najiuliza kinachowafanya wasilale ni kitu gani?

Yawezekana hawalali kwa wakati mmoja na kuwa macho kwa wakati mmoja kwa sababu wapo pande za Magharibi na Mashariki mwa dunia, na dunia haiwezi kuwa yote usiku au mchana katika muda mmoja. Halafu JF platform imesetiwa muda wa GMT +3 yaani muda wa Afrika Mashariki.

Haya ni masuala ya Geography, watu ufikiri haya masomo hayana maana kwani huwezi ku-apply hiyo knowledge kwenye maisha sasa ona leo unavyoshindwa ku-apply.
 
Walinzi, WahuDumu ktk Clubs n sehemu zngne za starehe, Hospitals, viwanDani (night shift) n etc
 
Nimemaliza assignment. Nikale daku sasa.
 
MSIOLALA BURUDIKENI NA HII ITAWALIWAZA MPATE USINGIZI
Masihara hayo watu tunatumia "freebasics" we unaleta 10MB.

Ebu tuandikie kwa maandishi kilichomo humo kama kweli ulikuwa na nia ya kutuburudisha.
 
Masihara hayo watu tunatumia "freebasics" we unaleta 10MB.

Ebu tuandikie kwa maandishi kilichomo humo kama kweli ulikuwa na nia ya kutuburudisha.
Kweli kabisa mkuu, huu ni uchoyo wa habari uliopitiliza
 
Masihara hayo watu tunatumia "freebasics" we unaleta 10MB.

Ebu tuandikie kwa maandishi kilichomo humo kama kweli ulikuwa na nia ya kutuburudisha.
Nilikuwa nawatega tu... kumbe msiolala wote masikini
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Masihara hayo watu tunatumia "freebasics" we unaleta 10MB.

Ebu tuandikie kwa maandishi kilichomo humo kama kweli ulikuwa na nia ya kutuburudisha.
Wewe utakuwa mpare, ugali na dagaa mmoja
Mpaka na burudani ya wimbo unataka uletewe kwa maandashi! Noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…