ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
hiyo kweli NY ila kumefanana na kule Kwa mh Rais Chato![]()
Nimetumia ya Simu ya my friend!
Nipo hapa new York city, mtaloni street 01!
Huku kwetu America na mitaa ina namba, sio huko kwenu bongo lala ni nyumba tu zenye number!
huku sio mtaa hadi Nyumba zina namba mlango ,mitaa ndio kabisa