N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,970 Reaction score 35,168 Jun 21, 2017 #121 Amadoli said: Wengine akina sisi tupo kwenye nchi ya Trump wakati wew uko kwenu kolomije ni usiku uku kwetu muda huu ni mchana kwaio tusipangiane muda wa kuchart ndugu Click to expand... Aisee kumbe uko kwa Trump hauko Tanzania! huko wenzetu kiingilishi mtakuwa mnakijua sana kuliko sisi huku kama hivyo (bold)
Amadoli said: Wengine akina sisi tupo kwenye nchi ya Trump wakati wew uko kwenu kolomije ni usiku uku kwetu muda huu ni mchana kwaio tusipangiane muda wa kuchart ndugu Click to expand... Aisee kumbe uko kwa Trump hauko Tanzania! huko wenzetu kiingilishi mtakuwa mnakijua sana kuliko sisi huku kama hivyo (bold)
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,139 Jun 21, 2017 #122 Maserati said: Sasa Dragoon kwani na Mimi Nina mke wa kumpa Huduma?? We Ndio ujibu mkeo unampa Huduma saa ngapi? Click to expand... Nilishindwa kujibu nikaomba msaada. Jibu tu
Maserati said: Sasa Dragoon kwani na Mimi Nina mke wa kumpa Huduma?? We Ndio ujibu mkeo unampa Huduma saa ngapi? Click to expand... Nilishindwa kujibu nikaomba msaada. Jibu tu
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,604 Reaction score 20,085 Jun 21, 2017 #123 Dragoon said: Nilishindwa kujibu nikaomba msaada. Jibu tu Click to expand... Ha ha ha ha haaa. Sasa Mimi single lady najuaje ya wanandoa jamani
Dragoon said: Nilishindwa kujibu nikaomba msaada. Jibu tu Click to expand... Ha ha ha ha haaa. Sasa Mimi single lady najuaje ya wanandoa jamani
Mehek JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 7,473 Reaction score 10,426 Jun 21, 2017 #124 Black hermit said: Kuna vijana wakorofi kweli wanaweza wakala daku yote ndo tunaviziana kila mtu anakula timing[emoji15] [emoji15] [emoji15] Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Black hermit said: Kuna vijana wakorofi kweli wanaweza wakala daku yote ndo tunaviziana kila mtu anakula timing[emoji15] [emoji15] [emoji15] Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]