Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KivpWatu kama hawa sijui walisomea ujinga!!
Dunia inazunguka jua, na jua nalo linazunguka black hole iliyo katikati ya galaxy yetu, Milky Way galaxy, kwa hiyo kusema jua halitembei si sahihi.LOH! MKUU, JUA HALITEMBEI DUNIA NDYO HUZUNGUKA JUA, NA DUNIA NI KAMA TUFE, NA SIYO FLAT. HVYO WAKATI WEWE NI MCHANA.. KUNA MAENEO NI ASUBUH, JION NA HATA USIKU.
MFANO RAHISI TENGENEZA UMBO LA DUNIA HATA KWA UDONGO, WEKA TOCHI PAHALA HALAFU ZUNGUSHA HYO DUNIA UTAPATA JIBU.
Ndugu yangu dunia ndio inaizunguka jua, sio jua kuzunguka dunia. Jua limesimama sehemu moja tu kwenye orbit. Kwahiyo upande wowote wa dunia unaopigwa na mwanga ndio mchana huko, na usiopigwa na mwanga ndio usiku.Wanamajibu ya kusadikika huwa siwaelewi kabisa mm
Dunia inazunguka jua, jua halijasimama nalo linazunguka Milky Way galaxy, milky way galaxy nayo inazunguka local cluster.Ndugu yangu dunia ndio inakizunguka jua, sio hua kuzunguka dunia. Jua limesimama sehemu moja tu kwenye orbit. Kwahiyo upande wowote wa dunia unaopigwa na mwanga ndio mchana huko, na usiopigwa na mwanga ndio usiku.
Google na YouTube zimeandikwa na kusemwa Kiingereza labda watu hawaelewi lugha.Kama una smart phone na bundle mambo mengine unajifunza google na you tube.
Habari wakuu,
Tunajua usiku na mchana hupatikana kwa dunia kujizungusha kwenye muhimili wake.
Katika kitu cha kujiuliza ni wapi jua linapotua, je lenyewe halisimami?
Najua mtabeza.
Ila toeni maoni yenu.
Naomba nikujibu kiwepesi kulingana na ulivyouliza. "Wakati wewe unaenda kulala (usiku) wengine huko duniani wanaamka (asubuhi kunakucha).Habari wakuu,
Tunajua usiku na mchana hupatikana kwa dunia kujizungusha kwenye muhimili wake.
Katika kitu cha kujiuliza ni wapi jua linapotua, je lenyewe halisimami?
Najua mtabeza.
Ila toeni maoni yenu.
Al-Watan ACHA UONGO, JUA HALIMOVE KWENDA SEHEMU YOYOTE ILE, KWANZA JUA SIYO SOLID, SASA LITAWEZAJE KWENDA SEHEMU NYINGNE? LABDA KAMA UNAMAANISHA LINASPIN PALEPALE LILIPO NA HALIJONGEI KULINGANISHA NA DUNIA AU MWEZI. JUA LIPO PALEPALE.
Watu kama hawa sijui walisomea ujinga!!
Ww ndio mjinga hapoWatu kama hawa sijui walisomea ujinga!!
Jua halizami.Dunia inazungukaHabari wakuu,
Tunajua usiku na mchana hupatikana kwa dunia kujizungusha kwenye muhimili wake.
Katika kitu cha kujiuliza ni wapi jua linapotua, je lenyewe halisimami?
Najua mtabeza.
Ila toeni maoni yenu.