Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]김태희 입니다. 어떠십니까?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]김태희 입니다. 어떠십니까?
Bora ungeuliza likipaa linatua wapi, likizama nadhani linatua kwenye kitako cha bahari.Habari wakuu,
Tunajua usiku na mchana hupatikana kwa dunia kujizungusha kwenye muhimili wake.
Katika kitu cha kujiuliza ni wapi jua linapotua, je lenyewe halisimami?
Najua mtabeza.
Ila toeni maoni yenu.
Hawakuelimika mkuuMm huwa nawashangaa sanaa humu JF mtu ameuliza swali hata kama ni la kipumbavu ww kama una uelewa mjibu sio kumkejeli sio watu wote tumesoma labda mm nilivyo maliza darasa la saba sikuendele mbele nilienda kusomea mapishi sasa mambo ta jua nitayajua wapi. Hata wenzetu waliosoma kama yeye ni Dr wa maneno huwa ni meno tuu ukimletea tatizo la sikio hawezi kukutibu. Tuwe tunasaidiana kuongezana maarifa elimu sio darasani peke yake.